Recent content by Jerry10

  1. J

    Samsung galaxy for sale !

    Brand new Samsung Galaxy SII & SIII for sale. SII-300,000/= SIII-400,000/= BEI INAPUNGUA / PRICE NEGOTIABLE CALL / PIGA +255688199349
  2. J

    Portable charger zinauzwa, inacharge hadi mara 4 kwa siku!!!

    uwezo: 12,000 Amh bei: TSH 60,000 simu: 0688 199 349
  3. J

    USED Nokia E72 For sale. Tshs 100,000!!!

    Features: -Exellent 5mp camera. -Front camera -Whatsapp -3G Battery life. Offline: 2days Online: 16 hours * VERY GOOD BATTERY. * Charger available *VERY GOOD CONDITION!! Sababu ya kuuza: nahitaji kubadilisha simu. Piga 0688 199 349
  4. J

    USED Nokia E72 For sale. Tshs 100,000!!!

    Features: -Exellent 5mp camera. -Front camera -Whatsapp -3G Battery life. Offline: 2days Online: 16 hours * VERY GOOD BATTERY. * Charger available Sababu ya kuuza: nahitaji kubadilisha simu.
  5. J

    Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Ninakijua vizuri nilichokiandika ndio maana nikacomment hapo. Vitabu vya maarifa vipo vingi sana, hata ubungo, mwenge vimejaa na ni bei poa, isitoshe hakuna anayekatazwa kununua.
  6. J

    Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Nduhu uliyeanzisha hii tread umeongea vitu vya kweli kabisa na nina kuunga mkono asilimia 100. Tatizo la watanzania ni la muda mrefu sana, tangia utoto hatijapata elimu za muhimu kwa mfano kuhusu mambo ya pesa au kujisomea. Mimi binafsi nimejifunza mambo mengi yaliyonibadilisha kutokana na...
  7. J

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    unaweza kufanya hivyo. Kibisa! Na ni rahisi, naweza kukusaidia kuset up hivyo kitu. Muda si mrefu nitaandika makala ya jinsi ya kuuza vitu kwenye mtandao.
  8. J

    Maelekezo ya Jinsi ya kutumia mtandao wa twitter

    You're welcome Geniverous.
  9. J

    Maelekezo ya Jinsi ya kutumia mtandao wa twitter

    Hata mimi ulinisumbua, ila baada ya kuuelewa nimeipenda kuliko facebook.
  10. J

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Siku hizi biashara zimerahisishwa sana na maendeleo ya mtandao wa intaneti unaowezesha watu kuuza na kununua vitu na huduma kupitia mtandao. Kwa sababu ya maendeleo haya, mara nyingi tunapokuwa tunatumia mtandao wa internet tunakutana na vitu mbali vizuri kama vile software, vitabu, nguo, saa...
  11. J

    Maelekezo ya Jinsi ya kutumia mtandao wa twitter

    Twitter ni mtandao wa kijamii unaotumiwa na zaidi ya watu million mia moja kwa mwezi. Ni moja kati ya mitandao maarufu duniani nyuma ya Facebook. Twitter inakupa uwezo wa kuwasiliana na marafiki zako au wafuasi wako kwa meseji fupi zisizozidi herufi 140. Meseji hizo zinaitwa ‘tweet' au...
  12. J

    Jinsi ya kuongeza mauzo kupitia mtandao kwa gharama ndogo

    Ni kweli, maneno matupu hayatoshi. Charging Rhino ni moja tovuti ilizotengeneza.
  13. J

    Jinsi ya kuongeza mauzo kupitia mtandao kwa gharama ndogo

    Hongera. Nimefurahi kuona kwamba kuna watu wanaotumia mtandao kutangaza biashara zao!
  14. J

    Jinsi ya kuongeza mauzo kupitia mtandao kwa gharama ndogo

    Asante. Karibu sana, namba yangu ya simu na e-mail vipo hapo juu.
Back
Top Bottom