Twitter ni mtandao wa kijamii unaotumiwa na zaidi ya watu million mia moja kwa mwezi. Ni moja kati ya mitandao maarufu duniani nyuma ya Facebook.
Twitter inakupa uwezo wa kuwasiliana na marafiki zako au wafuasi wako kwa meseji fupi zisizozidi herufi 140. Meseji hizo zinaitwa ‘tweet' au ‘tweets' kwa wingi.Hapa chini nimeelezea namna ya kutumia Twitter vizuri.
Jiunge na Twitter
Hii ni hatua ya kwanza ya kutumia Twitter, jiunge kwa kutengeneza akaunti yako binafsi au kama ni ya biashara yako andika jina la biashara yako ambalo ndio litatokea kwenye profile yako.
Pia utatakiwa utengeneze jina la kutumia kwenye mtandao wa twitter. Majina hayo huanza na alama ya '@' kwa mfano jina langu kwenye twitter ni @jngalla. Alama ya '@' inawekwa moja kwa moja na Twitter, unachotakiwa kufanya ni kuandika tu jina lako unalotaka kutumia.
Jiunge na watu au mashirika unayopenda kupata ‘tweets' zao
Jinsi kupata marafikikwenye twitter ni tofauti na mtandao kama Facebook ambao, unamuomba mtu urafiki kasha yeye anakukubali au kukataa. Kwenye twitter unajiunga na mtu au shirika kwenye ukurasa wao kwa ku-‘follow'. Hii ni njia ya kujiunga na mtu ili uweze kuon akile ‘anachotweet'.
Tweet
Ukishakuwa umejiunga twitter unauwezo wa andika ujumbe wako mfupi wenye herufi zisizozidi 140 ikihisisha na vituo. Ujumbe huu unaweza kuonekana na mtu yoyote anyekufollow wewe.
Kwa sababu twitter imejikita zaidi kwenye jumbe fupi, ni muhimu kuandika tweets mara kwa mara kwa sababu watu wanaokufollow wanapata tweets nyingi kutoka sehemu nyingi hivyo ni rahisi tweet yako isionekane. Hiyo ni kawaida kabisa kwenye Twitter, tofauti na Facebook ambayo unaweza kuona hata post iliyowekwa jana.
Tumia alama ya reli (#)
Kwenye twitter hamna vikundi au groups. Hivyo njia mbadala ya kuandika tweets zinazohusiana ni kwa kutumia alama ya reli(hash tag). Kwa mfano wewe na rafiki zako mnataka kuandika tweet zinazohusu uchaguzi mkuu 2015, mnaweza kutumia alama ya reli kabla ya neno husika (#uchaguzimkuu2015 ).
Hicho kipande kilichotanguliawa na alama ya reli ndio kinatomiwa kutambua tweet zote zinazohusu uchaguzi mkuu.
Ukitaka kuona tweet zenye hiyo hashtag unatakiwa utafute kwenye sehemu ya kusearch, kwa kuandika hashtag husika (#uchaguzimkuu2015 ) halafu unbonyeza kitufe cha kutafuta, ili uone tweet zote zenye hiyo alama ya reli.
Muhimu: unapoandika hash tag usitummie nafasi katikati ya maneno, usiweke alama kam viulizo nukta na kadhalika mwisho usianze na namba au kutumia namba peke yake (#2015 uchaguzimkuu au #2015 ) hizo hazitakubali. Mfano mzuri wa matumizi ya hash tag nii huu hapa: Mfumo wa vyama vingi ulateta ushindani kwenye #uchaguzimkuu2015 .
Retweet.
Ukiona tweet ukaipenda unaweza kuitweet kwa wenzako kwa kubofya alama ya mishale miwili inayoelekea kulia. Alama hiyo inaonekana chini ya tweets.
Chagua tweet unazopenda.
Kama ilivyo like kwenye Facebook, unaweza kuonesha kwamba umeipenda hiyo tweet kwa kubofya alama ya nyota inayotokea chini ya tweet.
Jibu au toa maoni yako kwenye tweets.
Ukitaka kutoa maoni yako bonyeza kitufe cha mshale unaorudi nyuma. Kitufe hiki kinaonekana chini ya tweets. Hapo utaweza kutoa maoni yako. Kwenye twitter kutoa maoni ni kureply. Ji