Recent content by Jerry Silaa

  1. J

    Jerry Slaa kujenga soko Kisutu

    Kabla hujaanza conclusion ni vyema ungeanza na kuuliza soko hili litakuwa na facilities gani. Pili ukae ukijua sio watanzania wote wakiwemo wakazi wa Ilala wana fursa ya kwenda mlimani city. Bado watu wanahitaji masoko yao wanunue nyanya na michele. Na labda hujawahi kwenda soko la kisutu...
  2. J

    Jerry Silaa, kama ukiyatekeleza haya ubunge nje nje!

    Kwanza nikiri wazi ndio mara ya kwanza naona positive comment na umelenga kwenye issues na si passonality. Ni wazi umiliki wa UDA uko chini ya Halmashauri ya jiji na si halmashauri ya manispaa ya Ilala. Ni wazi mimi ni mjumbe kwenye vikao vya halmashauri ya jiji lakini umesikia bungeni jambo...
  3. J

    Report Card ya Meya wa Ilala: Jerry Silaa

    Asante Mbugi, Wenye masikio watasikia
  4. J

    Report Card ya Meya wa Ilala: Jerry Silaa

    Unapozungumzia barabara ya ulongoni A ukaacha kutambua juhudi zangu za ujenzi wa daraja(sio caravat) ulongoni A ambapo toka uhuru hata kivuko cha miguu hakikuwepo utakuwa hutendi haki. Kama kweli wewe ni mkazi utafahamu daraja hili halikuwa kwenye mpango nor bajet, tukalazimika kuuhamisha mradi...
  5. J

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Asante Moelex QUOTE=Moelex23;3104416]Mh. Jerry Slaa, hongera kwa kazi unayofanya na vile vile kujaribu kujibu hoja humu JF. Watanzania kwa ujumla wetu tunakabiliwa na tatizo sugu la kupenda sana kulalamika na kujifanya wajuaji wa kila kitu. Yaani sisi, kitu chochote kwetu kimefanywa...
  6. J

    Report Card ya Meya wa Ilala: Jerry Silaa

    Limepokelewa na litatekelezwa
  7. J

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Majuzi ulikuwa Kampala International University-KIU,kwa ajili ya mkakati huoo na umemwaga hela ukiamini vijana wanakupenda la hasha yawezekana hizo ni ndoto za buriani Hivi unahitaji PHD kujua mwanafunzi wa. 1st year KIU anamaliza 2013 max 2014 na uchaguzi ni 2015!!!!!
  8. J

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Hukusoma hii! Wakati unangoja tujenge barabara ya mombasa, kama hauna jambo binafsi, waseme na waliojenga road reserve na wanakimbilia mahakamani na kutaka billions za compansation as if hiyo barabara haitawanufaisha wao. Kama unakaa Mongolandege sema tukuteue ujumbe wa kamati ya usimamizi...
  9. J

    Report Card ya Meya wa Ilala: Jerry Silaa

    Chama, kwa kifupi nimesema focus kubwa ni revenue inhancement na kupunguza matumizi ya kawaida na kutumia fedha nyingi kwenye miradi ya maendeleo. Afya, pamoja na kupanua zahanati ya Pugu na Chanika kuwa vituo vya afya vilevile zahati ya mongolandege ipo kwenye soft opening baadae tuiupgrade...
  10. J

    Report Card ya Meya wa Ilala: Jerry Silaa

    I thought nilirespond hii. Matatizo mengi ya KIU ni ya TCU, Loan Board na serikali. Najitahidi kuwa karibu na wanaKIU na lolote ambalo wanaamini naweza kulitatua au kufacilitate utatuzi milango yangu iko wazi.
  11. J

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    I know they have nothing to do na wananchi wa kawaida zaidi ya kuwafaidisheni wewe na maswaiba zako, ambao ni mafisadi wakubwa Unaweza kulithibitisha hili na ukiwataja maswaiba? Serikali ya mtaa madafu Nimekuwa diwani kwa miaka 6 sasa na ninaheshimu misingi ya utawala bora. Mambo ya mtaa...
  12. J

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Ungerudi kwenye hoja ya msingi ya barabara ya mombasa na zahanati ya mongolandege utaaelewa wajibu wa viongozi na wananchi.
  13. J

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Hoja zote za msingi zilizotolewa hapa hajaweza kujibu hata moja. Anachofanya ni kuchagua vitu vyepesi ambavyo ni irrelevant na kuvijibu kwa majivuno Mfano wa hoja?
  14. J

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Nasikiliza , lakini nashauri ujikite kwenye hoja na uelewa ninachoandika hapa ni muhtasari wa mambo mengi yaliyofanyiwa kazi na yaliyopo kwenye hatua mbalimbali za kutekeleza.
  15. J

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Karibu Q n A
Back
Top Bottom