Katika utangulizi wa makala yako umeonesha dhahiri kuwa hujui kiundani au hata kijuujuu kuhusu imani, matambiko na mizungu kuhusu afrika. Kusema kwamba dini zililetwa afrika ni kukiri luwa afrika haikuwa na dini kitu ambacho si kweli kabisa na kwamba fikra zako zinatembea juu ya reli ya wakoloni.
Kwa hiyo ni kama hujui mtindo wa chama chako ama?
CCM kuanzia anayegombea hadi anayepiga kura akili zao sawa.
Mjumbe hapigi kura bila mlungura.
Mgombea huwezi kupita bila kutoa mlungura.
Nimesema MLUNGURA sijasema rushwa. Lakini umeelewa.
Halafu huo uzalendo unaosema utapatikanaje wakati...
Sensa ya watu na makazi ni tarehe 23 agosti 2022, ila kwa kiwa zoezi hili ni kubwa linaweza kuchukua siku zisizozidi sita.
Hata hivyo hoja zako ni nzuri ila unaiambia serikali hii hii ya Tanzania ninayoijua? Nchi ya kupika takwimu?
Swali la hopes and expectations lingekuwepo naamini takwimu...
Kama unahitaji kuku wa kienyeji wa nyama au wa kufuga basi, suluhisho liko hapa kwa Big Feed Store.
Kuku wanaanzia 8,000/= hadi 30,000/=
Wasiliana nasi kwa 0742870916.
Karibuni sana.
Ni wakati vijana kujivunia kile wanachokifanya. Kazi iwe ndogo au kubwa ukiifanya kwa kujivunia unaweza kufikia ndoto zako.
Ni kweli kwamba vijana hasa waliohitimu elimu ya juu (tertiary education) wanajikuta wakiwa wanyonge hasa baada ya kujikuta nje ya matarajio yao yaliyotokana na taaluma...
Je ni kweli siasa za Tanzania zimepoteza mvuto na ushawishi kiasi kwamba wananchi wameona siasa hazina maana na badala yake wameona wawe mashabiki wa mpira?
Itakuwa ni kichekesho kwa raia wa Tanzania kutozingatia siasa ambazo ndizo zinazoamua maisha yao na kuona mpira una maana sana kwenye...
Tafiti zinaonesha tangu mwaka 2015 na kuendelea kumekuwa na ongezeko la wimbi la watu wanaofanya mambo ambayo kwa watu razini ni ujinga uliokomaa lakini mambo hayo yanachukuliwa kama uzalendo?
Kwa mfano kuna kipindi waziri fulani alikuwa akipima samaki na rula lakini kitendo kile kilitafsiriwa...
Hii ni novela inayohusu suala la afya hususan uzingatiaji wa maambukizi ya UKIMWI kijamii. Ni wazi kuwa wadau wanaelewa jinsi ugonjwa huu ulivyoathiri taifa hasa tangu utangazwe kwa mara ya kwanza na hayati Rais Benjamini W. Mkapa, mwaka 2000.
Inaonekana kama jamii hususan vijana hawazingatii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.