Recent content by Jerlyne

  1. Jerlyne

    Uraia wa waTutsi !

    Dah!hadi nimechoka,kweli humu kuna ma great thinkers.Mimi natokea mpakani na maiti nlizishuhudia kwa macho yangu ila kwa mawazo yangu na Mimi sikuwahi kuamini kuwa hao watu m1 watutsi wameuawa na wahutu(nterahamwe),tulipaswa kujua na upande wa pili walikufa wangapi(yaani wahutu)hainijii akilini...
  2. Jerlyne

    Kuzama uvinza(chumvini) zilipendwa!

    Duh!nyie acheni tu.nimejaribu sehemu 5 days ago natema mate hadi leo
  3. Jerlyne

    Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

    Uko sawa mkuu sema tatizo umeponda badala ya kutufundisha njia za kupata hayo magari ya kizungu badala ya mjapani.Binafsi gari yangu ya kwanza kumiliki ni landrover discovery 200tdi,japo sasa natumia Carina ti hahahaha.Ukweli magari ya kijapani ukipata breakdown sehemu yoyote gari itatengenezwa...
Back
Top Bottom