Recent content by jeremy jitwae

  1. J

    Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

    kweli hii yote ni sababu ya kuwa na taifa lisilomwogopa MUNGU sasa hao majmbazi watakwenda wapi na hayo madini?watamuuzia nani??na huyo m2 aliyewatuma hao watu anadhani ataukimbia mkono wa sheria kiraisi???
  2. J

    Inasemekana kundi la Sitta litaunganisha nguvu na CHADEMA kama CCM itamsimamisha Lowassa

    chadema haiwezi kushirikiana na mtu yeyote anayetokea ccm kama ccm wamemtosa asijipendekeze chadema cc kama chadema tunajitosheleza hatuitaji sapoti ya m2 yeyote kutoka chama cha mapinduzi!!!
  3. J

    Lady Jaydee akiwa mahakamani leo...

    hivi kukashifu uongozi ni kosa??mbn viongozi wa serikali wanakashifiwa na hawasemi lolote!!!iweje clouds wakasirike??me naona wanachuki binafc na jaydee na watashindwa!:disapointed:
  4. J

    Star TV yarudi Star Times baada ya Maridhiano

    hahahaha TCRA ni wale wale hawana cha maana cha kusema!!1
Back
Top Bottom