Recent content by jeremiah michael

  1. J

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Hembu share na sisi hiyo plan b mimi tangu nimemaliza mwaka jana mwezi wa sita education mpaka sasa nimefanya kazi sehemu tatu na sasa niko gvep international na education yangu niambie umejipangaje naweza share nawe uzoefu
  2. J

    Kwa yeyote anayeijua Raleigh International Tanzania

    Asante sana mkubwa kwa maelezo marefu nikiongeza ntaharibu, binafsi kwa hii program ya expedition 5 week Raleigh Tanzania nimejifunza mengi sana na niliyojifunza kama ningeambiwa nilipie nisingeweza kumudu fee,volunteer manager wenzangu waliotoka UK wame fundraise zaidi ya milioni 18 ili waweze...
  3. J

    Kwa yeyote anayeijua Raleigh International Tanzania

    Sio kuchimba vyoo interaction pia ningeipata wapi kama sio Raleigh
  4. J

    Kwa yeyote anayeijua Raleigh International Tanzania

    katika hizo picha kuna watu nawaona ambaoa wanafanya kazi Raleigh Rose, isaya , na Ben so ukifanya vizuri Raleigh wanakuchukua ufanye nao kazi ku volunteer inaweza ikapelekea kupata ajira so mwambie dogo asiogope ajiunge
  5. J

    Kwa yeyote anayeijua Raleigh International Tanzania

    mi nakataa wanajali sana swala la matibabu coz mimi nilikuwa iringa treck nikaumwa gari ilikodishwa kutoka ruaha hadi iringa mjini laki na kumi matibabu laki mbili nikaletwa moro na bravo (gari ya raleigh) na nikakaa fildbase kwa uangalizi zaidi wanajali sana si kwa mbogo wala mzungu, mi...
  6. J

    Kuhusu Morogoro a.k.a mji kasoro bahari

    Magojwa ni mengi sana katika huu mji na pia kuna uchakachuzi mwingi sana hasa katika vitu vinavyotumiwa kimwili na mwanadamu,Moro ingeweza kuwa nzuri endapo miondombinu has a ya maji ingeboreshwa,lakini pia udhibiti wa bidhaa feki ni nyingi sana hapa na ndio zinapelekea magonjwa mengi.
  7. J

    Et ni kweli kwa wanaosoma B.A WITH ED(BAED)?

    hakuna kitu kama hicho unachagua masomo unayoweza wewe mwenyewe na sio kuchaguliwa kwani degree unachukua wewe au wao??? usiogope kuichagua hiyo kamanda.
  8. J

    Kazi Mpya TRA - Agosti 2013

    jaman hi kazi ya TRA mbona nikifika sehem ya kusubmiti wanasema add at least one qualification nikienda ku add nakusabmit mambo yaleyale nisaidien wanahitaji kitu gan?:help:
  9. J

    naomba msaada hapa kuhusu bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    sasa kaka mimi niko dar hadi sasa nikijaribu inakataa nikaongea na rafiki yangu yuko nje ya dar alikuwa dodoma yeye alifanya bila matatizo nikampa detail akanifanyia bila shida kwahiyo jaribu kucheki marafiki wa mikoa tofauti mana hili tatizo limeanza tangu wahame
  10. J

    naomba msaada hapa kuhusu bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    jamani nashukuru sana wadau ilibidi niende bodi nikijua ipo pale tirdo ndo nikaambiwa kwamba wamehamia mwenge kwahiyo bado mawasiliano hayajakaa vizuri ndo mana hakuna network connection,nawashukuru sana kwa msaada.jioni njema wote
  11. J

    naomba msaada hapa kuhusu bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    nashukuru sana fj senior expert member, natumia mozila na google chrome,vpi unashauri nitumie ipi zaidi?
  12. J

    naomba msaada hapa kuhusu bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    nimesha lipia bodi na nina username na password ila niki login ujumbe huu unakuja A Database Error Occurred Unable to connect to your database server using the provided settings. naomba msaada ndugu zangu asanteni.
  13. J

    Hongera UDOM

    tupe angalu dondoo nasi kama watanzania tujivunie chuo chetu.
  14. J

    Baraza la mitihani hili lina ukweli?

    Jamani tuwekane sawa wadau wa elimu,ni kweli kwamba form six wameongezewa muda,hadi mwez wa tano?na nini sababu?
Back
Top Bottom