Recent content by jeoh

  1. J

    Huyu ndiye Dkt. Tulia Ackson Mwansasu, Rais ajaye wa IPU na miujiza aliyotendewa na Mungu wake

    Nani atapigia kura kuchagua kiongozi wa IPU kutoka nchi yenye bunge la chama kimoja na COVID 19 ndani yake? Ashindwe tu!
  2. J

    Israel wajiandae na tetemeko la 'Middle east' watakapoingia Gaza - IRAN

    Wizara ya Nje ya Marekani imeagiza mofisa wake wanaoshughulika na Mashariki ya Kati wasije sema vita kati ya Hamasi na Israel visitishwe au kusimamishwa. Gazeti la HuffPost limeandika:- "As Israel escalates it's attacks on Gaza the State Dept. Is discouraging diplomats working on Middle East...
  3. J

    Misri yakataa kuwapokea wakimbizi wa Palestina na kuwapokea wakimbizi wa Marekani

    Misri IPO Afrika na Mashariki ya Kati. Sinai na bandari maarufu kwa utalii ya Sham El Sheik ni sehemu ya Misri. Inaeleweka hizo haziko Afrika. Kuhusu suala muhimu SASA hivi ni UBINADADAMU kuzingatiwa na pande zote - Israel na Hamas pamoja na wachonganishi wakubwa wa migogoro eneo hilo.
  4. J

    Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

    Ukizungumzia Waarabu kusaidia ndugu zao wa Palestina huko Gaza ni sawa. Unapoingiza Uislamu sio sahihi, kwani Palestina ina Waarabu Wakristo na wamekuwepo huko kwa miaka zaidi ya 2000. Wakristo hao ndio walitemewa mate na Wazayuni hivi karibuni kule Yerusalem.
  5. J

    PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    Niliwahi kuandika hapa kuwa PhD za kitaaluma na za heshima ni vitu tofauti sana. Ile ya heshima anatunukiwa mtu ambaye tayari yuko kileleni katika fani anayotumikia--nasiyo PhD ya kutafutia uprofesa au ajira. Napenda Wa-Amerika wanavyofanya.Wanasiasa wanaitwa na kutajwa kwa majina yao. Sio...
  6. J

    Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

    Tanzania hatufikirii dhehebu, kabila n.k. tunapochagua raisi na viongozi wengine wa kisiasa. Ndio maana tuna amani. Sitazungumzia uchama au janga la Uchaguzi Mkuu wa 2020!
  7. J

    Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    Asante. Nakubali ugomvi huu ni "complicated" na hasa pale anayejiona ni kiranja wa dunia- USA anapopendelea upande mmoja hata pale maazimio ya UN yanapokanyagwa.
  8. J

    Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    Wa-Tz tukumbuke haya yanayotokea Gaza ni marejeo ya madhambi ya utawala wa makaburu huko Afr. Kusini. Nchi za Magharibi ziliunga mkono ubaguzi na ukandamizaji wa Weusi kama wanavyounga mkono Israel sasa hivi katika ukatili wao kwa Wa-Palestina. Ukweli ni kuwa mzungu anamchukia Mwafrika kuliko...
  9. J

    Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

    Salim Ahmed Salim anastahilia kuenziwa.
  10. J

    IGP: Barabara za kuingia ndani ya Chuo cha Polisi Moshi Kilimanjaro,wajawazito wanashindwa kwenda kujifungulia zahanati ya chuo barabara ni mbovu.

    ........na Mkuu wa Chuo, sio IGP! Hiyo zahanati inahudumia wajawazito toka uraiani?
  11. J

    Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

    Tafadhali fafanua kuhusu "uwezo duni wa Raisi Samia".
  12. J

    Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

    Tafuta mwenyewe hizo data za miji 10, wewe si mwerevu unayedharau watu weusi, unayeimba wimbo wa kina Hitler na kaburu P.W.Botha.
  13. J

    Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

    Si vizuri kunyanyapaa watu wenye ulemavu wa akili kama huyo Mwamerika mweusi uliyemwonyesha kwenye picha. Watu hao wako duniani kote, yawezekana hata katika familia yako. Hizo ni propaganda chafu dhidi ya watu weusi.
Back
Top Bottom