Recent content by Jenu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari nikajua

    We nawe
  2. J

    JamiiForums Tanzania Matusi kwa mtongozo wa siku moja tu

  3. J

    JamiiForums Tanzania Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

    We nawe
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima unategea kulipa bili

    Wanaume hamfai kabisa siku hizi,unapanga kidate na mdada ,wakati wa kulipia bili mwanaume mzima na midevu yako unazamia chooni, Ndo maana Siku hizi wanaume wengi mnaishia kupenda vya bure
  5. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake sijui wanachukulia vipi maisha

    Jamani mimi ndie mtuhumiwa hapo juu,napenda kusisitiza kina dada tuwe na msimamo,tuachane na utoto Pia nazidi kuomba msamaha,mpenzi yaishe,na zile picha nilizokutumia please zidelete
  6. J

    JamiiForums Tanzania Una miaka 30 hujaolewa? na bado, utaona moto

    Jamani tuhurumieni kila Siku mwatusema sisi!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Company please

    Jamani nahitaji company Leo nimeboreka sana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nimesahau wallet

    we jerrymsigwa acha maneno mengi mesage sent ,mjirekebishe fanya kazi kwa bidii acha longolongo,we kwani una sh ngapi?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nimesahau wallet

    huu mwaka lazima mbadirike,jitumeni kaka zangu la sivyo mtaambulia machoni tu tena siku hizi mmekuwa omba omba sana,omba omba wengi mjini sikuizi ni wakiume hii yote ni sababu ya uvivu na kukimbia umande
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimesahau wallet

    nyie ongeeni tu lakini ujumbe umefika,mwenye macho haambiwi ona, mnapenda sana vya bure yani unalala na mwanamke tena nyumbani kwake anakupikia na chakula then humpi hata hela basi ya sabuni ya kujisafisha,kweli wanaume wameisha yamebaki masuluali,mmesikia hiyo misharubu yenu na mindevu ni...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nimesahau wallet

    Mnaboa sana nyie wanaume vijana,yani hamna maana,hamna lolote ndo maana tunawaacha,mnakwepa majukumu yenu,ndo maana vibabu vipo kwenye chat na tutazidi kuvisifia jinsi vilivyo makini, KUNA SIKU NILITOKA OUT NA MWANAUME KIJANA,KABLA HATA HATUJAFIKA SEHEMU HUSIKA AKAANZA KUJISACHI,MARA KIDOGO...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa Kike Umri Miaka 30 - 40

    Nahitaji mtaji wa maandazi,Utanipa?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuishi naye

    Mi ni manager wa tbl nadhani ntakufaa
  14. J

    JamiiForums Tanzania I NEED A NON SEX partner

    Habari za weekend wananchi wenzangu,Mimi ni mwanamke adult ,nina mvuto wa kutosha ila sijabahatika kumpata bwana wa Maana Sometimes huwa namiss company ya kiume,just to share mambo with,to have drinks hapa na pale clubs na vitu Kama hivyo Someone to hug and kiss but not sex,coz hakuna...
Back
Top Bottom