Recent content by jenie

  1. jenie

    JamiiForums Tanzania Ajira Serikali: Kwa tafsiri ya Serikali, ajira ni za walimu na watu wa afya pekee au?

    Theory of demand and supply ndio inatumika apo Halimashauri mwanasheria ni moja Hospital inafanya kazi masaa 24 ko staffing yake ni kubwa
  2. jenie

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Afisa tabibu Joseph Chacha Marwa aliyedakwa na TAKUKURU, Afikishwa Mahakamani

    Afisa tabibu anafanya upusuaji ????? Taarifa haiko sahihi labda km chanzo cha taarifa kilidanganya baadhi ya taarifa leseni ya afisa tabibu haimuruhusu kufanya upasuaji labda kama alikua anapasua jipu na kma ni jipu haiewezi kia iyo pesa ya 600000.
  3. jenie

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wizara ya afya mnampango gani wa kuwaajiri vijana waliokua wameajiriwa na benjamin mkapa foundation katika utumishi wa umma hasa ukizingatia kua mikataba yao na taasisi ya Benjaminmkapa imeisha na watu walipangwa mikoa tofaut na makazi ya kwao? Asante
  4. jenie

    JamiiForums Tanzania Mtoa dawa za usingizi

    Muuguzi mtaalam wa dawa za usingizi anatafuta kazi 0712050508
  5. jenie

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Muuguzi njoo hospitali ya mkoa wa manyara nije mko wa mwanza(magu) ilemela, Mara (butiama) Tarime 0712050508
Back
Top Bottom