Recent content by Jengoz

  1. Jengoz

    DOKEZO Responded Vocha za Mitandao ya simu zadaiwa kupandisha bei kiholela Mbozi

    Si waweke kwenye akaunti wanunue kwa bei ya kawaida. Kwanza hizo karatasi zinachafua mazingira tu.
  2. Jengoz

    Tuwaache abiria wa daladala washuke kabla ya sisi kupanda

    Cha kwanza ni kusimamia level seat tu.
  3. Jengoz

    Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Kuna mambo mengi ya kufikiria kwa kijana wa umri wa kuondoka nyumbani. Kwa namna yeyote ile kuondoka nyumbani kunapaswa kuzingatia afya ya wazazi wenyewe. Ikiwa wazazi wanajiweza hasa kiafya na walao kumudu maisha ya kika siku basi hata miaka 19 unaweza kutoka nyumbani kwa ajili ya kwenda...
  4. Jengoz

    SoC04 Uwezeshwaji wa wananchi kumiliki uchumi

    Kwa majina naitwa Majengo Saidi Swadi. Nianze kwa kuangazia namna ambavyo maisha halisi ya wananchi yanavyotofautiana na takwimu za kukua kwa uchumi wa nchi. • Kwa kawaida tunasema kipimo cha uchumi mifukoni ni namna ambavyo watu wanaweza kumudu maisha yao ya kila siku kutokana na kipato chao...
Back
Top Bottom