Recent content by Jenerali General

  1. Jenerali General

    Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

    Nimeshasoma hapa, na mimi muhusika nimeshajijua. Siji ng'o Ila bro nisamehe nilikuwa namjaribu tu mkeo.
  2. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Ahsante mkuu lakini vigezo sio vigumu. Sema wengi wanadai kwenye kujishughulisha hapo ndo nilipoharibu maana yake wengi wapo tu nyumbani. Sasa tusipotafuta wote maana yake tuwazimie simu wazazi na ndugu.
  3. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Daah my wangu unanivutia sana. Ila lazima kuna kupasha viporo na baba mtoto.
  4. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    My wangu kwa hiyo uko unajishughulisha na ulipanga kumsomesha kabisa mwenyewe au baba yake ndio saporter?
  5. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Sawa umenena vyema. Nalo litazingatiwa
  6. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Ni vile mambo yamebadirika. Huwezi kumtegemea mume kwa kila kitu lazima na wewe ujishughulishe. Kumbuka siku hizi tumejijengea tabia ya watoto kuwapeleka shule za kulipia ili nao wapate elimu ya ushindani. Hebu fikiria zile shule gharama zake ni milioni kabisa. Baba bahati nzuri nina kamshahara...
  7. Jenerali General

    SOFTWARE Biblia Takatifu na Sauti

    Aisee ubarikiwe sana. Sijajutia kui-download yaani nasikiliza neno la Mungu huku napata raha. Mfano ile Mathayo mlango wa 5. Zile Heri ukizisikiliza kwa audio unapata burudani kabisa. Ubarikiwe sana nataka niipe nyota tano
  8. Jenerali General

    Faida za kulala uchi wa mnyama

    Inategemea mlango wako una kitasa au kamsumali. Kama ni msumali tu usilale bila nguo.
  9. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Shukrani mkuu. Kila ushauri hapa utazingatiwa.
  10. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Ka mwili kangu [emoji2956][emoji2956]
  11. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Ha ha haaaa
  12. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Ahsante kwa ushauri
  13. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Sawa nimekuweka kwenye list
  14. Jenerali General

    Natafuta mke wa kuanza naye maisha

    Sijaelewa sijajua ninachokitafuta kiaje. Natafuta mke lakini nimeeleza wazi naanza maisha hivyo nataka wa kuanza nae. Nikisema nizichange mwanamke wakuja kunikuta na kila kitu si ndo atakuwa hajanipenda mimi sasa watakuja kunipenda warembo kwa vile wamenikuta na kila kitu.
Back
Top Bottom