Recent content by Jemima Mrembo

  1. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Itachukua miaka mingi sana ijayo Tanzania kua na kambi rasmi ya upinzani bungeni tena.

    No reform no elections
  2. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Usaliti ni laana, Henry Kilewo aachana na siasa

    Nyau kabisa huyu
  3. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Kizimkazi Raiyan Hemed Amour auawa kinyama.

    Kila sehemu ni Kizimkazi
  4. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Kizimkazi Raiyan Hemed Amour auawa kinyama.

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Kizimbani aitwaye Raiyan Hemed Amour, amepatikana akiwa amefariki Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu Ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono Mmoja.
  5. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni

    Kweli kabisa. Tuna amani , furaha na raha tele
  6. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni

    Tunasalia nyumbani, sadaka tunakula chips mayai na soda, isiwe kero
  7. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kuingia mzimamzima kuisaidia Ukraine 🇺🇦 vita dhidi ya Urusi 🇷🇺

    Hii vita inaenda kuwa vita kuu ya dunia
  8. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Mambo ya zamani sana hayo lol...
  9. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    JF inasikika na wakubwa na wanaiogopa sana
Back
Top Bottom