Recent content by Jemima Jackson

  1. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapa huduma ya usafirisha mizigo kutoka South Africa to Tz

    Tayari nimeishapa asante.
  2. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapa huduma ya usafirisha mizigo kutoka South Africa to Tz

    Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
  3. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Raum old inauzwa 8ml

    Tatizo la bongo ukitafuta kitu bei juu ukitaka kuuza bei chini nfano nilinunua kiwanja last year 5m badae nikabadili mawazo nikatumia njia zile zile nilizotumia kukipata hadi leo mwaka wateje wanafika 3.5m hata bei ya manunuzi imeshindikana,bongo ujanja unja mwingi sana.
  4. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

    Naomba kujua bei ya Discary 3 kutoka SouthAfrica hadi Dar pamoja na ushuru utaniuzia kwa bei gani nashida nayo haraka sana. Itachukua muda gani.
  5. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

    Kila mtu anataja ujazuiwa kutaja asira za nini?
  6. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

    Akiwa mkurungenza wa NHC au ilikuwaje tupe ubuyu.
  7. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

    Akiwa mkurugenze au ilikuwaje tupe ubuyu?
  8. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

    Nieleweshe kaliinguza Taifa mkenge na vizazi vijavyo?
  9. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

    Hizi nazo ni majanga ningekuwa nauwezo ningezifuta.
  10. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

    Sijui watu wanasema ni CAG.
  11. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

    Alie jenga uwanja wa ndege chato wakati hakuna hata kunguru wakuchezea pale.
  12. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

    Mbona sijaona akitaja jina la mtu,jikite kwenye Mada bwashee.
Back
Top Bottom