Recent content by jembepori

  1. jembepori

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda njoo Maswa tunaonewa

    Mpambanaji wa Kweli, @paulmakonda
  2. jembepori

    JamiiForums Tanzania Picha ya leo: Edward Lowasa akiwa na Uhuru Kenyatta katika sherehe za kuapishwa kwa Rais

    Nani kakudanganya?.... Mi nilimpigia kura Jpm
  3. jembepori

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokutana na adhabu toka kwa wanajeshi tuambie ilikuwaje

    Wanajeshi nao ni watu tu........
  4. jembepori

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokutana na adhabu toka kwa wanajeshi tuambie ilikuwaje

    Wanajeshi nao ni watu tu........
  5. jembepori

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Hivi nani ana contact za huyu babu maana maneno ya kila mtu na lake mi huwa siyaamini.
  6. jembepori

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Hivi tukio la Lisu bado lipo?
  7. jembepori

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

    Hapo ndo naelewa akili za kibongo zilivyo.........yan badala ya kujadili issues sisi tunajadili events.........si mchezo kuendelea kama nchi kunakazi
  8. jembepori

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Tulifanya Makosa Makubwa 2015 Kumpendekeza Magufuli. Tusirudie makosa 2020

    Hivi 2015 kulikuwa na CCM? Ama watu walichagua magufulo?, huyo membe si ukale nae ugali kama unampenda?...... Hivi hujui kama magufuli anaibeba ccm? Eti 2020 msifanye kosa......au mtakuea ndo mnakosea maana mtabaki na mafisadi wenu sisi tutaenda na magufuli wetu.......zama hizi nani anataka haya...
  9. jembepori

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji Uchwara wanapaswa kupuuzwa, Rais Magufuli songa mbele

    Aluta Continua.......
  10. jembepori

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

    Safi lirudi tu......hatutaki wezi.
  11. jembepori

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

    Safi sana tunafumba macho....tunaamua..eti miaka 99 na hao wasonjo hapo watawinda nini?...... Hivi tulilogwaga na nani?....... Safi kingwangala ila ukumbuke jimboni tunakuhitaji ujenge hii barabara ya kutoka busondo kwenda tongi
  12. jembepori

    JamiiForums Tanzania Catalan independence today; A lesson to Zanzibaris

    Hamnaga kitu kama hicho.......hivi wewe hujui definition ya demokrasi it depends na anayei define....... Eti nguvu ya demokrasia thubutu yake
  13. jembepori

    JamiiForums Tanzania Catalan independence today; A lesson to Zanzibaris

    Nani kakudanganya.......we waache tu wajidanganye na hako kabunge chao........hivi umeyaelewa hayo maandishi ya kiingereza ama we unaona Picha tu........acha kuwadanganya wazanzibar .....kama unalako sema
  14. jembepori

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Rais anatupeleka kwenye uchumi wa kati, tanzañia ya viwanda na nchi ya wafanyakazi zinazotamvulika siyo wapiga dili.........kama unakaziyako unakuwaje na wasiwasi we jenga nyumba na peleka watoto shule wenzako ndo wanafanya hivyo ila kama ni mjanja mjanja mjini hapa tafuta kazi ulipe...
  15. jembepori

    JamiiForums Tanzania Gavana mpya kule BOT na namna ya kutafsiri hesabu za uchumi na Fedha, ila huyu ni Mwanasheria na hesabu wapi na wapi?

    Hao wachumi wanaojua hayo wamefanya nini tangu wawe hapo benki kuu....mwacheni rais afanye yake.....yan hata akiweka mkulima mi naona sawa 2.... Eti kuna kipindi nilihudhuria kikao cha Repoa keynote speaker alikuwa gavana anayetoka na pale tupo wachumi kibao halafu anasema eti sekta inayoongoza...
Back
Top Bottom