Shida ni kwamba hachati mbususu??, mbona inaonyesha still una huruma ndani yako?? Au kunachangamoto ipi ambayo huwezi rekebisha mpaka utake kumpoteza mwamba??
mh ila mbona kama kawa kichaa mkuu, ila litakukuta jambo. Mungu ibariki tanzania tubariki wanaume, maana dada unamoyo wa kiume mwamba moyo wa kike? Ila ungekuwa wangu kwa moyo huo nishataambaa kitambo najua nisipokaa kwa kutulia utanitia petrol
wangemuacha afe mungu akam binye makende yanayomuongoza kuliko akili pumbaf kabisa!, kisa mwanamke??, hii ni tabia ya kike kabisa wanaume tumekuwaje lakini, wana tunakikao serena hatuwezi kwenda kwa mwendo huu!!. Duh jinga kabisa, dada ungeenda na petrol
sijui niseme wanaume wengi tukilielewa hili tutaacha kuishi na expectation, wanawake wengine unakila kitu ila akavutiwa na ukarimu, mwenekano,wadhifa na n.k wa mtu akatoa nje. Coz ugali kila cku unachosha na tusisahau mungu kampa kila mtu safari yake so likukuta imekula kwako mjuba, jikaze...
Kitu ambacho sisi wanaume wengi hatukiju wanawake now wana uwezo wa kujitegemea na sio tegemezi inapaswa kufahamu huyu mtu anakuwa na machaguzi na kuwa na yeyote amtakaye so ukimuona kachagua kuondoka jua hakuwa ridhiki yako so go on instead kulialia thus how men should be! Kulialia siyo tabia...
Imefikia hatua hadi inakera yaani! sijui tuanzishe kampeni to teach boys how to be a man? Maana inachefua, nigga unafungua uzi manzi hakupi mbususu!, unaomba ushauri? unamaliza mwenyewe kwa kupiga chini!
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kulilialilia mapenzi, hivi ni dalili udhaifu baadhi yetu tulionao na kukosa uanaume ndani yetu?
Guys sometimes tujikaze na kumuacha aende bila kukupesa macho kuliko kusubiri kuja kulialia humu, hata kama unampenda jikaze kiume muonyeshe msimamo na muache...
wanaume wa siku hizi tumekuwa wadhaifu hata sijui tunakwama wapi!, broo piga chini tafuta anayekupenda maisha mafupi kulialia kuomba mbususu ni dalili ya
udhaifu kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.