Recent content by JembeNaNyundo

  1. JembeNaNyundo

    KM Afya: Wizarani kwako kuna shida sana ya Watumishi

    Kwanza nikupe benefit ya kwamba wewe ni mgeni ndani ya wizara ya Afya, hivyo hustahili lawama wewe binafsi kwani ulifanya vizuri kazi yako nzuri ukiwa TAMISEMI. Hivi unajua kuna manesi na madaktari waliopo kwenye hospitali zilizoko chini ya Wizara ya Afya (Mirembe, Rufaa Mbeya, Kibong’oto)...
  2. JembeNaNyundo

    Tetesi: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam warekebishe Utawala

    Hawa jamaa wanaishi karne ya ngapi sijui. Sijui wamerogwa? Wako rigid. Hawaendani na muda. Ofisi ya Utawala ni ya hovyo, yafanya kazi kwa mazoea. Ukipata ajira leo, utasota sana hadi uingie kwenye payroll. Mwaka jana ndugu yangu kapata kazi Muhimbili, na wenzake classmates waliitwa UDSM. Ndugu...
  3. JembeNaNyundo

    Benz new model inauzwa

    Unauza gari huku waona aibu kulionesha.
  4. JembeNaNyundo

    Tanzania imefuzu AFCON kwa sababu Uganda hawakuwa na presha ya kufuzu

    Na walipotoka Droo kwao pia hawakuwa na pressure ya kufuzu.
  5. JembeNaNyundo

    Takukuru Mulikeni Watumishi Wenu Ambao ni Kero

    Malengo ya TAKUKURU kwa kiasi kikubwa yanazidi kufanikiwa, na kwa hakika yanalisaidia TAIFA. Lakini SHIDA kubwa ya TAKUKURU ni BAADHI ya WATUMISHI wake kujiona KAMA wako JUU YA KILA KITU. Sijajua kama ile miezi MITATU ya kule MILIMANI MOROGORO ndio huwafanya hawa maafisa wachunguzi wajione wako...
  6. JembeNaNyundo

    Ukimya wa Malawi juu ya chokochoko za Ziwa Nyasa ni uoga kutokana na hulka ya Magufuli?

    Hizo hadithi za vijiweni. Ungekuwa mhusika usingetoa "siri" kama hizo.
  7. JembeNaNyundo

    Polisi yawaonya Viongozi wa Makundi ya WhatsApp. Yawataka kutoa taarifa kuhusu uhalifu utakaofanyika kundini

    Kuna baadhi ya vitu ni kupoteza muda tu. Polisi hawana ubavu wa kujua kwenye kundi kunaongelewa nini unless members atoe siri. Serikali ijikite kwenye mambo yenye tija.
  8. JembeNaNyundo

    Ni kweli mishahara ya Majaji Tanzania haikatwi kodi?

    Naye kama halipi kodi awe mfano kubadirisha hicho. La sivyo simuombei. Teh teh teh.
  9. JembeNaNyundo

    Ni kweli mishahara ya Majaji Tanzania haikatwi kodi?

    Ninajiuliza, ni kweli majaji hawalipi kodi? Kama kweli kwani wao wana kitu gani special hadi wapate treatment kama hiyo? Daktari analipa kodi, engineer analipa kodi, advocate analipa kodi, kwanini jaji asilipe kodi? Nadhani hiki kinapaswa kurekebishwa.
  10. JembeNaNyundo

    35% ya watanzania wamezaliwa Mbowe akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Asilimia 90 ya Watanzania wamezaliwa CCM ikiwa madarakani.
  11. JembeNaNyundo

    Hivi Wazungu wana makabila?

    Historia inaonesha kulikuwa na makabila mengi miongoni mwa wazungu, lakini karibu yote yalishapotea kama Warumi (sijui tuite walipotea) na mengine mengi. Majina yake ni magumu unaweza search. Yapo mawili matatu yaliyobaki kama kabila la Wasami wanaoishi Finland. Ila tujue tu kwamba mchanganyiko...
  12. JembeNaNyundo

    Katibu Mpya wa Bunge, Stephen Kagaigai ni nani?

    Hizi nafasi lazima ziwe na mtu, ama ni mimi au wewe au yule.
Back
Top Bottom