Recent content by Jembemtaji

  1. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

    Kwanini serikalini inaruhusu vitu kama ivi.
  2. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

    Hatari sana kwanini usifanye biashara mwenyewe.
  3. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

    Kuna ndugu yangu wa karibu alinunua hisa za kampuni inaitwa JATU wakijinasibu kuwalimia watu na kuwauzia mazao yao wao wasubiri faida tu. Kilichotokea hisa wamenunua mazao wameuza kampuni imesema haina uwezo wa kulipa kila mkulima hela kulingana na mazao walioyouza. Wakati huo huo wanasema...
  4. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja tokea kifo cha Hayati Rais Magufuli

    Ndio ivo tutaenjoy ye kajiendea zaķe
  5. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Natafuta ufadhili kwenye NGOs

    Naona wadau hakuna kabisaaa
  6. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Natafuta ufadhili kwenye NGOs

    Sawa .
  7. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Natafuta ufadhili kwenye NGOs

    Taasisi ipo Dar es salaam.
  8. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Natafuta ufadhili kwenye NGOs

    Habari wadau,natafuta mtu anaejua namna ya kupata ufadhili au mfadhili wa ndani au nje ya nchi. Nina taasisi imesajiliwa kutoa elimu nje ya mfumo RASMI pamoja na mafunzo ya ufundi. Changamoto ninazopitia ni gharama za kuendesha sijawaipata ufadhili wowote. Ivo kama kuna mdau anaweza kunisaidia...
  9. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Information technology (IT): Naomba mnisaidie chuo Cha private kinachotoa course za IT hapa dar

    Jaribu pia UKOMBOZI EDUCATION INSTITUTE kiko mbezi ya kimara sina taharifa zaidi naona tu matangazo yao
  10. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

    Njoo mbezi ya kimara utapata
  11. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania 40 days 2022/2023 road trip adventure around Tanzania

    Musibakane tu
  12. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

    Dini ni kwa mataira tu,waliozaliwa na ubongo timamu hawana dini na ikitokea mwenye akili ana dini basi jua kuna miradi anataka kufanya kupitia iyo dini.
  13. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

    Wakenya wanafanya kazi wewe na wenzako ni wavivu,wezi,wanafiki na wapika majungu acha mtengwe malofa nyie.
  14. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Picha na majina ya wanajeshi 13 walouawa Kabul Airport juzi

    Raha sana wakifa wamarekani
Back
Top Bottom