Kumbe passion lady uko jirani kabisa,hii in hatari nasikia iyo laptop ni ya mkubwa wa jeshi af pia ilikuwa an data nyeti za kuhusu jeshi..Mbinu wanazotumia sio kabisa bora angetangaza zawadi kwa atakayefanikisha kupatikana kwake cz hicho kipigo wanachotembeza kwa watu ndio wanazidi kutengeneza...
Jumla ya magaidi kwenye westgate mall inasemekana wako 10 hivi KDF wamewaua watano tu hao wengine imekuaje?!!! Kuna uwezekano serikali imeangusha floor nne ila kutupilia mbali hili swala ambalo limeisimamisha nchi kwa siku nne bila kujali mateka walioko huko ndani! Fuatilia idadi ya missing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.