Nadhani tunapojaribu kuchangia hoja hii iliyo mbele yetu ni vema tukaelewa kwamba tunapokuwa (sisi au vyombo vya habari) tunaongelea habari za wenzetu walioaga dunia tunasukumwa sana na mchango wake kwa taifa na wala sio kiwango chake cha elimu aliyonayo, au mahali na taasisi anakofanya kazi...
Wahusika wamesahau kwenda kulipia bill hiyo. Wako BIZE kuandika cheq za kulipa per diems na posho kadha wa kadha za wakurugenzi na maafisa mbalimbali wizarani. Serikali hii ya "MSHUA" inakosa pesa za mambo muhimu yenye maslahi ya moja kwa moja kwa umma (kama vile taarifa kwa umma wa watanzania...
We bushman, hoja yako ni ipi? Kuulizia mishahara mwisho wa mwezi na menejimenti vina uhusiano gani? Halafu mbona swala la mshara sio sehemu ya hoja inayozungumzwa kkt thread hii? Ni bora ukakaa kimya kama huna hoja kuliko kutapikatapika chochote unachohisi kutapika hata kama hakina uhusiano wa...
bp inatoka wapi? kwani c unaelewa ulichokipanda? Kama ulipanda njugu mawe usitarajie karanga, ni njugu mawe tu...wote mnaopandwa na bp kwa ajili ya matokeo mnategemea miujiza tu, mnajua mlifanya utumbo kwenye mitihani hivyo mnasubiri miujiza. Nakushauri usijisababishie matatizo zaidi kiafya...
Tumieni elimu yenu na chombo chenu cha UDOSO vizuri enyi wana wa nchi hii ili muweze kupata muafaka wa tatizo lenu. Kugoma ni haki yenu kwa lengo la kusikilizwa. lakini mkianza kufikiria kuchoma ofisi za serikali, majumba ya watu au kuharibu miundombinu ya chuo ikiwa ni pamoja na majengo mtakuwa...
Wala hujakosea, wewe ni mbumbumbu kwelikweli!!! Kwani kuwa wazi maana yake nini? Ingekuwa ya siri basi ingeendea kwa president tu... Acha ushamba na kutuopotezea mda wewe..
Uko sahihi MwafrikaHalisi JK anajua wazi kwa nini hataki kufanya mabadiliko hapo Chuoni. Nasikia hata mmoja wa viongozi wa hicho chuo kwa jina la Prof.Mlacha huwa anawakejeli wafanyakazi wenzake kuwa "YEYE NI KUKU ALIYEATAMIA, KAMWE HAWEZI KUCHINJWA". Kama ndivyo swali la kujiuliza ni je "nini...
Ndugu yangu "senior expert member" sitaki kuamini kwamba tunachokijadili hapa hukijui na ndo maana unatoa mapendekezo ambayo kwa mtazamo wangu "hayawezi kusaidia". Nataka nikukumbushe tu kwamba hitaji la umeme sio hitaji dogo la kufanyia harambee kama mnavyofanya kwa ajili ya kicheni party...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.