Recent content by jembe la kigoma

  1. J

    JamiiForums Tanzania Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    kwanini serikali kupitia idara husika iwe inafatilia mwenendo wa vipindi,makala na baadhi ya maandishi kwa upande wa magazeti,kisha wakigundua kuna ukia=-ukwaji wa maadili na taaluma wanakifungia ama kukifuta kipindi husika na mtangazaji ama mwandishi wake anapelekwa mahakamani,hii ingeweza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nilikosea sana kumkosoa kaka yangu alowahita CHADEMA genge la wahuni

    kUMBE SIKU HIZI WANANCHI TUNAENDA BUNGENI KUCHANGIA HOJA :smile:
  3. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapanga kuifanyia hujuma CHADEMA Kibondo

    Kwakweli umenisikitisha mno mkuu MWAKABANJE kwa hoja yako hiyo ,nimekuvua ukamanda wako wote ulionao hapo SAUT.yaani umeshindwa hta kufikiri jinsi gani hata TanzaniaDaima linaweza pata taarifa za Kigoma?shame
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapanga kuifanyia hujuma CHADEMA Kibondo

    jembe la kigoma Mgamba wanatapatapa sana huku wakizidi kuwaibia wananchi maskini,hasa Kinana akiona wanyama mwili unamuwasha
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja hii Mwigulu na CCM mmechemka vibaya

    Napita tu,bt huena hta jina nalo likawa chanzo cha matatizo
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapanga kuifanyia hujuma CHADEMA Kibondo

    Hizi ni picha za mkutano wa CCM leo kibondo Kama kawaida ya magamba kuwahadaa wananchi kwa wasanii
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapanga kuifanyia hujuma CHADEMA Kibondo

    Chama cha mapinduzi (CCM)wilayani Kibondo mkoani Kigoma imepanga kufanya hujuma kubwa kwa chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA),CCM ikwa kuwatumia vijana wake wa green guard imepanga kung'oa bendera zote za CHADEMA mjini humo usiku huu,kwa mujibu wa katibu mwenezi wa CHADEMA wilayani humo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Lowasa na Pesa za kumwingiza Ikulu 2015

    Imebainika kuwa zile harambee anazoalikwa waziri mkuu aliejiudhuru kwa kashfa ya ufisadi Edward Lowasa na kwenda kuchangia mamilioni ya fedha makanisani na baadhi ya misikiti na taasisi zingine ni masharti ya kuingia Ikulu kama rais ajaye wa Tz, kwa mujibu wa taarifa nilizozipata ambazo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Je Rais anatujali watanzania na kuijari Tanzania?

    Inauma sana unajua
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je Rais anatujali watanzania na kuijari Tanzania?

    kama nchi imemshinda awaachie wanaoweza coz sio lazima amalize miaka yote mitano,apumzike ili apige misele vizuri
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je Rais anatujali watanzania na kuijari Tanzania?

    wakati rais wa Brazil alikatisha ziala yake ya nje ya nchi kutokana vifo vya raia wake kwenye kumbi za muziki na wakati rais Obama alistisha kampeni zake za kuwania urais wa Marekani kwa mda kutokana na kimbunga kikali kilichopga baadhi ya majimbo na Leo Rais Nkurunziza wa Burundi amekatisha...
  12. J

    JamiiForums Tanzania SAUT na Vyuo vingine, Shule za kanisa havina malengo ya kweli kumkomboa mtoto wa maskini wa TZ.

    acha udini mkuu adui namba moja wa mtz ni shetani,ufisadi,ujinga,maradhi,n adui namba 1 wa mwislamu ni shetani na si mkristo na adui wa mkristo ni shetani na si mwislamu,je umeyashinda yote hayo?
  13. J

    JamiiForums Tanzania SAUT na Vyuo vingine, Shule za kanisa havina malengo ya kweli kumkomboa mtoto wa maskini wa TZ.

    Sikuhurumii wewe bali mzazi wako anayejua anamtoto yupo chuo kikuu anapata elimu imkomboe alafu anapost ujinga,Shame.
  14. J

    JamiiForums Tanzania SAUT na Vyuo vingine, Shule za kanisa havina malengo ya kweli kumkomboa mtoto wa maskini wa TZ.

    Kama lengo ni kupata elimu ili watoto wa maskini tujikomboe,tutafanikiwa na tutashinda soon Or later. :smile:
Back
Top Bottom