Recent content by Jembe la Babu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ziara za 'kushtukiza' Bandarini: Nani hamwelewi Mhe. Rais na Wasaidizi wake?

    Watanzania wote tunaonekana hatuna akili mbele za macho ya wenye akili waliopo nje ya Tanzania. Kulikua na ulazima gani wa yeye kuchoma mafuta toka Magogoni mpaka Kurasini? Kwanini asingenyanyua simu akawapigia wahusika wayaachie na sisi tungeona kupitia nyaraka za Ikulu? Kwanini asingetumwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi makontena yenye makinikia bado yako bandarini? Acacia ni wezi? Washatulipa? Wanachimba na kusafirisha? Smelter vp

    Hii movie ni ya mwaka gani? Nahisi itakua outdated
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hesabu ya magazijuto inayotaka kutumika kumng'oa Sugu Mbeya

    Jimbo la Mbeya Mjini lina mchanganyiko mkubwa. Wasafwa wanapatikana kwa wingi huo Mbeya Vijijini na sio Mjini
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Magufuli awaapisha Alphayo Kidata na Msalika Makungu

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. J

    JamiiForums Tanzania HESLB yavuka malengo katika ukusayaji wa madeni kutoka kwa Wadaiwa

    Ongezeko la 6% kwa mwaka ndio lipi hilo?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sioni kosa la Malasusa, labda naona tamaa ya rushwa ndani ya Maaskofu waliobaki

    Wakatoliki walisema Walutheri walisema Kakobe alisema Wengine wanapenda kusema lakini wanaogopa! Hawa ndio wabaya zaidi.
  7. J

    JamiiForums Tanzania DAR: Mabasi 29 ya Mwendokasi yaharibika huku baadhi ya Wafanyakazi wakipewa likizo kutokana na ofisi kujaa maji

    Waliwafukuza wananchi waishio mabondeni wakidai ni maeneo hatarishi halafu wao wakaenda kujenga ofisi na kuweka terminal ya magari! Akili au matope
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1915 Wakoloni wa kijerumani na waingereza walipanga Dodoma uwe mji mkuu- Dodoma City Revisited.

    Shule ya kwanza kujengwa na serikali ya kikoloni Tanga School kama sikosei ni mwaka 1893 Baada ya Uhuru mwaka 1967 ile shule ikaonekana ni ndogo pale ilipojengwa ndipo ikasogezwa pembeni kidogo eneo linaitwa Makorora na ikajengwa upya ndio inaitwa Tanga Technical Secondary. Yale majengo yake ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ubungo miongoni mwa halmashauri bora 17 Tanzania

    [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Safi sana, naona watawala wameanza kujielewa.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa; the best risk decision maker ever! Tumpongeze

    Msigwa, The Great Thinker. Watu walitaka amtukane rais, hapana hata mimi nisingeweza kumdhalilisha mkubwa wangu wa kazi hadharani. Huu ndio utamaduni wetu waungwana.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe atoa orodha ya watu waliotekwa na kuuawa Mkuranga, Kibiti na Rufiji (MKIRU)

    Uhaini ni kosa baya sana! Fanya makosa mengine yote lakini usijaribu kwa namna yoyote kuihujumu serikali iliyopo madarakani! Hauwezi kubaki salama. Waelimisheni na wengine.
  12. J

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Rais Magufuli afungua kituo cha kisasa cha mabasi Msamvu

    Nini maana ya uzinduzi? Nafikiri yule aliekua wa kwanza kutumia ndie angeitwa mzinduzi lakini sio rasmi. Kiswahili kizuri tuseme amezindua rasmi. Ila mheshimiwa rais ameharibu kuwaruhusu Machinga na Mama Lishe kuingia humo ndani, wataharibu mandhari ya kituo hicho labda watengewe eneo lao...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi sana wanaojitokeza katika ziara za Rais Dr Magufuli na kumshangilia zinatoa picha gani kiutawala

    Kwa mfano mimi sijawahi kumuona Magufuli live hvyo ikitokea akafanya ziara huku kijijini kwetu nitalazimika niende nikamuone live.
Back
Top Bottom