Kikosi Maalumu cha Kudhibiti dawa za Kulevya kutoka makao Makuu Dodoma, kumewatia mbaroni watu kadhaa akiweni mshindi wa kura za maoni wa udiwani katika kata ya Levolosi,ABBAS HAJI Jijini Arusha baada ya kukutwa na kiasi kikubwa cha dawa za kulevya .
Wengine ni Rehema Mwinchumu katibu wa ccm...
Baadhi ya watia nia wa udiwani katika kata ya OSUNYAI jijini Arusha wamelalamikia mchakato wa kumpata mwakilishi wa chama cha Mapinduzi wakidai kulikuwa na mapungufu mengi ya kutofautiana kwa idadi ya kura za ubunge na udiwani katika mchakato huo huku wakimtuhumu msimamizi wa uchaguzi,ZUBEDA...
MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi Jirani kwa kumpiga na kisha kumchoma na pasi ya moto akimtaka kimapenzi.
Tukio hilo ambalo...
.Utangulizi.
hata uhuru wa watu kutoa maoni,lakini pia dhana ya maendeleo ilikuwa inatafsiriwa kwa serikali
Hiki kilikuwa ni kilio cha ndani nan je,mfumo wa chama kimoja ulizima uhuru wa watu kujieleza na
na huduma zote za kijamii ili kupunguza ukali wa maisha kwa watanzania.Joto la kubadili...
Na Mwandishi Wetu, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili Mfanyabiashara na Mwekezaji Saleh Salim Alamry (54) na mwenzake wakili Sheck Mfinanga, kuharakisha upelelezi wa shauri hilo ili kesi ya msingi ianze kusikilizwa...
Wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu cha Sanyansi na Teknolojia (MUST), wamepoteza maisha baada kuvuta hewa chafu katika mgodi wa machimbo ya madini ya Tanzanite, WA Flanone Mining uliopo katika Mji Mdogo wa Mererani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, ambako walikwenda kwa ajili ya mafunzo kwa njia...
Mkurugenzi Mwanzilishi wa Makampuni ya Vanilla International Limited, Simon Mnkondya amejikuta Mikononi mwa Polisi Mara baada ya kutajwa kutapeli wakulima wa Vanila mamilioni ya fedha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paulo Makonda kuagiza akamatwe na alipe madai yao chini ya ulinzi mkali wa polisi...
Wananchi wa kijiji cha Hurui, kata ya Kikore wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, wamelalamikia kitendo cha askari polisi wilayani humo, kuwakamata na kuwapiga wakiwa uchi wa mnyama usiku wa manane kwa amri ya mkuu wa wilaya hiyo, Dkt. Hamis Mkanachi, kwa madai kwamba wanashiriki kuchochea mgogoro wa...
Mahakama ya rufaa kanda ya Dar es salaam chini ya majaji watatu leo imetupa shauri la rufaa namba 407/2021 lililofunguliwa na Mfanyabiashara Maarufu, Askofu, wa Kanisa la KKAM, Philemon Mollel akipinga hukumu iliyompa ushindi William Titus Mollel katika mgogoro wa kugombea eneo lililopo Ngulelo...
Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu Bilionea Shami, amedai kutishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa polisi jijini humo na kulazimika kuyakimbia makazi yake kutoka dar akitumia usafiri wa pikipiki na kukimbilia jijini Arusha.
Akiongea na vyombo vya...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Arusha imemkamata mfanyabiashara maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jiji la Arusha, Maganga Baha lago akituhumiwa kujifanya afisa Misitu na kuomba rushwa ya shilingi 100,000.
Kamanda wa Takukuru Mkoa, Zawadi Ngajilo amethibitisha...
VIGOGO Wandamizi watano wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha wanatuhumiwa kuchukua rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya Mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60 katika tukio lililotokea desemba 5 mwaka huu eneo la Burka kata ya Elerai...
Siku moja baada ya taarifa za mkaguzi msaidizi wa polisi kituo cha USA River Mkoani Arusha, Demetrida Sweethbert Thadeo kuanikwa kupitia mtandao wa Jamii Forums akidaiwa kukodi majambazi ili kumuua mumewe, hatimaye jeshi hilo limemkamata na yupo mahabusu imefahamika.
Taarifa za uhakika zimedai...
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kituo cha Usa River, Demetrida Sweethbert Thadeo Mkazi wa Momela, wilayani Arumeru Mkoani Arusha, anahojiwa na polisi katika kituo hicho akituhumiwa kukodi majambazi waliomjeruhi kwa mapanga mumewe Daud Thomasi Ayo kutokana na ugomvi wa kifamilia.
Kwa mujibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.