Recent content by jemakwetu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujiondoa CHADEMA kwani ni chama cha kibaguzi

    du na wewe ulikuwa cdm kweli? sasa kwa sababu haukutoa taarifa za kuingia na kutoka nako ungefanya usitaarabu wa kutoka kimpya!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

    hata mimi najua haja soma education, kama taaluma ya uwaalimu aliwahi kufundisha shule gani tanzania?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ngome ya CHADEMA ya Arusha haikuhitaji mwenyekiti kama Amani Golugwa

    inawezekana kuna ukweli ndani yake, swali kwa nini majimbo tanjwa hayakufanya uchaguzi?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Lema na Msofe kituko Arusha!

    lema ni jembe jina lako likitanjwa mpaka mapofu yanawatoka, tulieni mwakani hata zito kata mlizo baki nazo tunachukua zote!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tukisema nchi imefilisika wapambe wa CCM hawaamini, tunathibitsha hivi

    unasemaje wewe, mishahara iko wapi? acha ujinga na maisha ya watu wewe hakuna mshahara wowote benk
  6. J

    JamiiForums Tanzania Godbles Lema aondoke Arusha hii! I see the decline of Arusha under him

    no reseach no right to talk! utafiti wako uko wapi?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    mungu ni mwema daima, watashindana lakini hawataweza!!!!!!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma

    hakuna k2 kinaitwa katiba mwaka huu, wanaojidanganya waendelee, usicho panga huwezi kutekeleza!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma

    huyu malecela, sijui amesoma wapi? mbishi kweli jk tunamfahamu wala sio leo na ccm yenu leo hili kesho lile!!!!!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

  11. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA mnafanya nini Dodoma mpaka dakika hii?

    Kesho lazima wafungashe virago maana magamba tayari wamesharejea maagano yao na shetani tangu walipo kataa ubalozi wa israeli
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: JK amemkosea Jaji Warioba

    jk alichemka kwenye hotuba yake la msingi lazima UKAWA wakaze wasiwaache hawa maccm walioficha akili zao na kutembea peku safi sana mh. lugola karibu upinzani wewe hufai kuwepo ccm!!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tuirudishe Tanganyika Kwanza - Kiini cha Suluhisho

    tanganyika irudi mengine baadae!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom