Ulipoweka wazo la mambo ya kufikirika ya "mungu" ndio ulipoonyesha udhaifu wa umaskini wenyewe kwa mwafrika... tukiondoa hizo dhana za tamaduni za mkoloni tu ..Afrika itapaa na kuwa yenye nguvu sababu kila kitu tunacho..
Rafiki kuna jamaa hapo juu kakwambia hiyo video ya mwanzo inayo onesha A10 warthhog aircraft inashambulia wanajeshi ni ya zamani kuliko tukio lenyewe na ni from game " digital combati simulation"
Mbona hii ni A10 wathdog attack plane, ya USA sidhani kama SA wana aina hii ya mult role attack aircraft.. hii itakua sio DRC mkuu check with your source
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.