Recent content by JEIBII

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sioni Umuhimu wa kuwa na Serikali za mtaa zitokanazo na Vyama vya Siasa

    Nimeliongea hili na kiongozi mmoja wa UKAWA na alionyesha kutolitilia maanani. Wapendwa kwenye serikali za mtaa tunahitaji huduma kwa wananchi na sio tena kupeleka itikadi zetu mitaani. Huduma kwa wananchi hutolewa kwa mujibu wa Sheria na taratibu, ushauri wangu Watanzania tuanze kuelimishana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania John Magufuli: Ninautamani urais!

    Huyu jamaa alikuwa akinivutia utendaji wake ila kuna wakati alitamka kwamba upinzani unaota ndoto kuishinda CCM eti kwa sababu Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Makatibu wakuu wa Wizara na Wakurugenzi wa Wilaya wote ni CCM. Hapa nilimbaini kuidharau demokrasia na uhuru wa wananchi. Jamaa yupo kichama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi ni nini?

    Pia nataka kusema hivi: Leo hii pita mitaani kuna dini fulani wanaandaa kanda, CD's na vitabu kuwakashifu watu wa dini nyingine.Ndugu zangu nataka niwaambie:Wanandamu hatujui tulikotoka wala tunakokwenda YOTE TUNAYOYAAMINI TUNAYAAMINI KWA IMANI TUU: Sasa KWANINI UONE DINI YAKO NI BORA KULIKO...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi ni nini?

    Mfumo wa Sheria uko hivi: Kinachoshindikana kwa chief Kadhi hutakiwa kwenda Mahakama Kuu(High Court) sasa kama bado mashauri yanakwenda mahakama kuu, kwanini basi tuwe na Kadhi's court?. Inawezekana hili linatokana na mfumo huu wa sheria tulionao (Common Laws) ambao kiasili ulianzia...
Back
Top Bottom