Njia rahis tumia ile web browser ya simu achana na opera au chrome ukifika nenda direct www.meridianbet.com coz hata mm inazingua ila kwenye ile browser inakubali fresh tu.
Tatizo n kwamba ukiweka pesa meridian huwa inachukua mda mref had kuingia kwenye account. Ila kama wataka kuweka kwa ajil ya gem za weekend c mbaya waweza weka.
Nina laptop yangu aina ya samsung, tatizo hii laptop ukiwa unatumia bila kuconnect kwenye umeme halafu ikakata chaj ukija kuiwasha haiwaki kabisa, inaaanza kama inawaka then inablink tu. Hapo hadi uiformat ndo itakubal hiv tatizo litakuwa n nn wadau naomba msaada kwa hilo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.