kuzaa nje haisaidii chochote,pengine ni tamaa za mwili wako zinakusukuma kwenye hili,
mtoto hubadilika kulingana na wakati wa makuzi na ukuaji wake,vumilia hiki ni kipindi kidogo cha mpito ingawa yakupasa uoneshe misimamo yako CHANYA ww kama baba wa familia kwa mkeo na kwa watoto, Nadhani...
Habari ndugu zangu..
Kuna kiwanja kinauzwa,kipo MLANDIZI-KIBAHA PWANI
Kiwanja kina Miguu 30 kwa 25.
Kipo mjini kabisa..umeme na maji yapo karibu sana.
Kama unaswali zaidi kuhusu Bei ya kiwanja.unaweza nicheki DM.
AU 0654206078.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nayo RAM 4GB Storage 500GB Aina ASUS
Ila inatatizo ilipata shoti haiwaki garama ya matengenezi ni 30000 je itakufaaa??
Sent using Jamii Forums mobile app
sikia hakuna uchawi kweny mapenzi!!! inatrmegemeana inawezekana akakupenda sana lakin kuna utamu haupati kwako.ndo anatafute huo utamu kwengine,lakin anakupendaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.