Recent content by Jeff Chumi

  1. Jeff Chumi

    Je, Tuliowapa dhamana ya kulinda maisha yetu wameyaweka rehani?

    Tusisubiri takwimu za maambukizi zitutishe ndiyo tuanze kuchukua tahadhari ya kulinda uhai wetu.
  2. Jeff Chumi

    Maana ya haya maneno

    Sikilizia neno la baba yetu wa taifa.
  3. Jeff Chumi

    Maana ya haya maneno

    UJINGA ni kutokujua but unajua kwamba hujui. UPUMBAVU ni kujifanya unajua kumbe hujui na hiyo inapelekea hata usijijue kwamba haujui.
  4. Jeff Chumi

    Tecno L8 inahitajika.

    Dau lako ni shilingi ngapi.
  5. Jeff Chumi

    Tecno L8 inahitajika.

    Mbona unasema kila la heri.
  6. Jeff Chumi

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji tecno L8 ya bei ndogo, mwenye nayo pm au 0744885000
  7. Jeff Chumi

    Tecno L8 inahitajika.

    Nahitaji Tecno L8 iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo anicheki 0744885000
  8. Jeff Chumi

    Samsung Galaxy C7 Inahitajika

    Nitumie picha yake.
  9. Jeff Chumi

    Samsung Galaxy C7 Inahitajika

    Jamani hakuna mwenye hii simu ninayoihitaji.....?
  10. Jeff Chumi

    Apple macbook buree!!

    Twambie bei yako.
  11. Jeff Chumi

    Samsung Galaxy C7 Inahitajika

    Nahitaji Samsung Galaxy C7 Used ambayo bado ipo na hali nzuri bei ndogo, mwenye nayo njoo inbox.
  12. Jeff Chumi

    FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    Sioni haja ya Magufuli kuelekeza nguvu yake kufuatilia upumbavu huu, tuna mambo mengi ya kufanya kulipeleka taifa mbele kimaendeleo. Tukiendelea kufuata upuuzi huu tutabaki kumlaumu Magufuli kwanini haendi kwa mataifa mengine kuomba misaada kana kwamba hata Donald Trump huja Africa kuomba...
  13. Jeff Chumi

    Wapo watumishi wengine ambao bado ni majipu

    Ni budi majipu haya yakatumbuliwa hata kabla ya kukomaa.... Tunaposubiri yakomae mda unazidi kwenda matokeo yake tunachelewa kufikia targets kwa wakati.
  14. Jeff Chumi

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Sina hakika kama mnaofikiria habari ya serikali 2 au 3 mnafikiri kwa kina. Tujaribu kujifunza kwa wenzetu walio endelea, tusiwe mabingwa wa kuomba misaada na kukopa. Tujaribu kutumia akili zetu kufikiri mambo kwa mapana.
  15. Jeff Chumi

    Samsung Galaxy Grand Inauzwa.

    Ndio Kijana leo ipo katika hali nzuri/haijapoteza ubora wake.
Back
Top Bottom