Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu tuendelee kuwa pa1 had mwsho wa mnadaLaki mbili na buku nimeongeza hapo!?
Sawa mkuu tuendelee kuwa pa1 had mwsho wa mnadaLaki mbili na buku nimeongeza hapo!?
Mkuu panda dau maana huku pm hapatoshi ngoja nakutumia screenshot sshv ili ujue tumefikia wapi then twende sawaJamani huu Mnadani vipi?mimi nimefika bei jana hapa?
Nakuwaga nazo mkuu, ila hii idea ya mnada ndio likuwa sina ila kwakuwa nimeshaipata hii idea na watu wengi mmeipokea vzuri basi itakuwa endelevu mkuu; Kwaiyo tuwe tunawasiliana tu.Hauna brands nyingine za simu Mkuu?
Ukiwa unauza simu kwa njia ya mnada humu JF, itakuwa poa sana.
mkuu mzigo upo ingawa una ahadi kibao wengine wapo mikoa wengine makazini ila kama uko serious njoo pm tumalize biashara maana huu ni mnada ingawa umechukuwa muda kutokana na wateja wengi mali kauli.Mkuu vp mzigo bado upo au umeshatoka? Maana nautaka sana!
mkuu biashara ipo ila siunajua biashara zetu za kibongo? ahadi nyingi, maneno mengi ingawa wapo walio serious na hata walikuwa tayari kulipia hata nusu ili mradi kuzuia huu mnada ila kutokana na vigezo na masharti ya mnada sikuweza kuwakubalia ila mzigo bado upo.Hakuna biashara hapa
mkuu ongeza 100k uje kuchukuwa mzigo ukaenjoy maishanakupa 300k cash
mkuu njoo na 400k uchukue250k itapendeza
mi naanza na 400k mkuuTwambie bei yako.
mkuu mbona unashuka badala ya kupanda?