Recent content by jefas

  1. jefas

    Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

    Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo...
  2. jefas

    Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    ULICHO kisema ni sawa ila kwasasa xo mda wake! Taifa linnakabiliwa na mambo mengi yanayo hitaj ufumbuzi na umakini kupita kiasi! kwahiyo tuache kujadili fulan kafanya hivi mara yule kafanya hiki.Tueke mkazo katika mambo ambayo ni PUBLIK INTEREST. MUACHENI maisha yake binfsi kwa sasa sio mtaji...
  3. jefas

    Hotuba ya waziri Hawa Ghasia juu ya mkoa wa Kilimanjaro ni ya ubaguzi

    Hilo tumeliskia! sasa turudi katika kile alicho jikita HAWA GASIA katika mchango wa hotuba hiyo..,swali: KWA NINI VURUGU HIZO HAZIFANYIKI KILIMANJARO? kumbuka huko ambako chadema wanafanya vurugu pia kuna wananchi
  4. jefas

    Kwa hili, kweli chadema ni wasanii!!!

    jifunze mambo kwanza ili ueleweke vizuri. Sasa unmlaumu nani DR. SLAA au CDM? nani masanii na nani anafanyiwa usanii? Je unafikiri kuja kwa slaa kunge badilisha nn? uwakilishi ulio fanywa na WABUNGE unatosha:kev:
  5. jefas

    Pinda: CHADEMA wanatekeleza kauli yao ya nchi haita tawalika

    pinda anapindua pindo lililo pindwa na CDM, kauli yake hailengi kuitia nguvu serikali bali inadhamira ya kufunga CDM mabakuli yao wana wana CDM huko mataani. hivyo kauli hiyo haiwalengi watoa amri wa CDM bali inawalenga watekeleza amri za CDM.
  6. jefas

    CHADEMA haiwezi kushindana na serikali kwa namna hii; Iitishe mgomo wa Kitaifa!

    Naheshimu mawazo yako mwanakijiji. Lakini napata wasiwasi kama ujumbe huu utawafikia walengwa ambao in viongozi wa CDM bila shaka.Maana wao wako bize kumtafuta mchawi wa kampeni zao za M4C ili kuiongoza kaya hii ya wadanganyika. Ushauri kwako mwanakijiji andika barua rasmi uwapelekee makao makuu...
  7. jefas

    Ombi/Rai kwa viongozi wa CHADEMA, tuanzishe Siku ya Mashujaa wetu!

    Ombi lako ni zuri ila naomba ukapitie vyema maana ya neno SHUJAA. hasa uliangalie neno hilo katika ulingo wa siasa lina maana gani
  8. jefas

    CHADEMA inavyoliangamiza Taifa!

    ndugu yangu natumai umeandika hayo ukiwa na yakini na uyasemayo...kama ndivyo basi hebu tuthibitishie kuwa CDM ndio wana wataabisha wana Arusha. Nategemea uniridhishe na ripoti ya yoyote ya chombo cha ulinzi na usalama.
Back
Top Bottom