Ndungu leta hoja yako nasio kusema haina mashiko for what?
Nikuulize wewe unaelewa nini huu ya chanjo?
Then Red Giant ....
Nikukumvushe chanjo sio Tiba wala suluhisho ya kufukuza covid na kwamba hutaambukizwa.
Unaeza chanja zaidi ya awam moja for how?
Unaposema suruhisho ni kuchanja leta hoja...
Habrini wana jamii forum wenzangu natumaini hamjambo kwa sababu Mungu yupamoja nasi !
Kuna time najiuliza kuhusu nchi yangu ya Tanzania kwa tathimini yakufikiri sana,
Maisha walioishi mababu enzi za ukoloni na maisha ya sasa kunautofauti mkubwa sana pia changamoto hazikosekani .
Katika maisha...
Yaaani mkuu wa mkoa Simiyu na mkuu wa wiliya wafanye mchakato unaohusisha serikali ya mtaaa katika hospital ilee aaafu wanaoiba madawa ni madaktari na wahusika wa kituo cha afya haswa hao ma CO clinical officers ndio wezi wakubwa wa madawa vifaaa hii nchi inahitaji wazalendo wakweli wenye...
Habari na karibu katika fikra za kujilisha ufahamu na kuelimika...
Nakuletea andiko story for change Ndimi mwandishi wako Jeef George andaa mawazo ,uelewa na maswali yenye kufumbua mboni za watu wengi waliofungwa na jera ya umasikini,katika andiko hili uliza tujemge hoja zenye kuleta...
God bless you sana piga kura shiriki nami pia share Nina andiko jipya lakujenga ufahamu hamasa na kuielimisha jamii iliyopo katika wimbi la umasikini
Inasema: kuishi bila umasikini wa fikra there is more than one story for change 🙏🙏🙏Bofya hapa/click here
Habari karibu katika andiko hili la story for change,Lenye kuhamasisha jamii kuelimisha na kubadili mitazamo hasi kuwa chanya yenye kuleta msukumo wa jamii iliyolala katika wimbi la umasikini na kuamka katika mafanikio ya utajiri na jamii yenye kipato.
Ndimi mwandishi wako Ndugu jeef george JF...
Naamu inakuwa haileti maantiki MTU kapotezaa SAA za kutosa kuandika then uzii inakuwa deleted not delivered dah inauma njoo story for change unipigie kura
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.