Recent content by jeebie

  1. J

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    mmh inachanganya! sikiliza moyo wako,,,, pia jiulize why aliamua kumpa mzigo jamaa? labda tatizo lipo kwako? if u still love her and you think you can work things out then forgive her
  2. J

    Picha: Lema amsindikiza Wema mahakamani leo

    atulie na familia yake na jimbo lake khaaa.....
  3. J

    Natamani kumwacha huyu mume wa mtu ila..

    I feel you ...yani gals sijui tupoje huongezi chochote ila upoo tuu and hujui jinsi ya kumuacha! natamani kukushauri ila sijui coz ive been there and i'm still there!! Let me know ukipata jibu
  4. J

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    pole sana!! aisee wewe hukuwa serious kabisaa ila nimekutana na worse scenarios yako can be solved! jiandae vema na kwenda kufanya hizo sup guess ni mwezi wa 9, kama unajua umekosea wapi then unao uwezo wa kurekebisha na kufanya vitu vinavyoeleweka. the good thing umejitambua kilichobaki ni...
  5. J

    Oa ujue thamani ya mwanamke

    enjoy to your fullest, "keep praying...keep planning...keep pushing"
  6. J

    Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

    duuh what a story, ila ndo college life!!
  7. J

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    usikate tamaa, Mungu anaweza kukutendea kitu and you will be surprised. Nina dada yangu mmoja alikuwa na scenario kama yako, and kilichotokea he met a guy and after a month the dude akamwambia anataka kumuoa and ghafla bin vuu harusi hiyo! it took kama 3 months kujuana hadi wakaja kuoana! so see...
  8. J

    Je, ni kweli haya anayoniambia mchumba wangu?

    pole sana, ila jaribu kuangalia ni jinsi gani umempenda, umempenda kisa alikwambia ana bikra au la? jua kwanza moyo wako na uwe tayari kupokea lolote "mentally and physically". Pia swali la kujiuliza ni can u live without her? jaribu tuu kuchanganua faida na hasara za kuwa nae na kutokuwa nae!
Back
Top Bottom