Recent content by Jean Vertongen

  1. J

    JamiiForums Tanzania Na ka-date Jmo - Recommend places/Activities Plz.

    Sawa Mkuu, wanapool kwa ajili ya kuogelea?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Na ka-date Jmo - Recommend places/Activities Plz.

    Ni beach ipo iko fresh?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Na ka-date Jmo - Recommend places/Activities Plz.

    Wakuu, Ni ka-first date weekend hii, nahitaji iwe yenye msisimko. Kama unaipata sehemu yoyote nzuri ambayo haitanitoa jasho wala kutoboa mifuko yangu, naomba nishirikishe wakuu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Kike Tuyajenge

    Vikoje mkuu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Kike Tuyajenge

    15 mdgo sana, tutasumbuana. Na risk sana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Kike Tuyajenge

    Mkuu cjajua unachomaanisha. Ila kama ni mademu, mtaani wapo kutosha. Na kusingekuwa na haja ya kupost. But wasn't my end.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Kike Tuyajenge

    Kar Karibu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Kike Tuyajenge

    Pamoja Hussein
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Kike Tuyajenge

    Habari wanajamvi, Nahitaji binti ambaye tutakuwa marafiki na baadae Mungu akijalia tuweze kujenga familia. Umri awe kati ya 24 - 27, umri wangu ni 28. Kwa sasa najishughulisha shughuli ndogondogo ili kuendesha gurudumu la maisha. Chuo nimemaliza Public Administration (BA). Nilipta kazi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Make Tanzanians Receive Money with Paypal

    Ila payment gateway ya CRDB mbona inaruhusu kupokea payment toka paypal?
Back
Top Bottom