Recent content by jbrutta

  1. jbrutta

    Vodacom FWA supakasi

    Hivi vigushi vimekaje vya internet, unanunua kifurushi Cha 5000 Cha wiki ndani ya siku mbili kimeisha inasikitisha sana, maisha ya sisi engine ni ya kuungaunga, iweje iniuzie kitu Cha kutumia wiki kiishe kwa siku mbili wanasheria tusaidieni sisi wanyonge
  2. jbrutta

    Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

    Unachosema ni sahihi, na upande mwngine si sahihi, watu wamekuwa wakulima miaka mingi January Hadi Decemba Kila siku shambani kwa miaka zaidi ya 30 Hadi leo hana kitu. Mfumo wa masoko na bei za mazao vinadidimiza mkulima, watu walio wengi hushangilia vyakula vinaposhuka bei, bila kuangalia...
  3. jbrutta

    Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Hivi hatujifunzi kutokana na makosa, serikali ilibinafusisha viwanda na vyote vilikufa, iweje leo iwe bandari inayofanya kazi.
  4. jbrutta

    Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

    Ki ufupi biashara ni changa moto, fikiria bar ya kawaida kupata faifa million Tano unaikusanya kwa kipindi gani? Bahadhi ya watendakazi wa nchi hii ni makatili, mamlaka zinapaswa kuelekeza na kushauri, Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  5. jbrutta

    Watanzania wengi ni wachafu

    Kuna na hii tabia watu kumwaga maji machafu barabarani inakera sana, na suara jingine kuwa umeendelea ni kigezo Cha usafi,
  6. jbrutta

    Serikali kuwajadili waliokataa Ukuu wa Wilaya

    Kwa ni wasiteuliwe vijana wasio na ajila, wasomi ni wengi
  7. jbrutta

    Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

    Jaribuni kubadisha elimu iwe pesa, hata elimu inapatikana kwa pesa, ukiwa na pesa Kila kitu kinawezekana hapa duniani
  8. jbrutta

    Umaarufu wa Hayati Malkia Elizabeth wa II

    Nchi nyingi Africa colloni za uingereza zimepata uhuru mikoni mwake
  9. jbrutta

    Huduma ya polisi ku-trace simu ni hisani, kiofisi au bure?

    Kiukweli hii huduma ya kutrack simu iliyoibiwa police hawatendi haki, nilibiwa simu nikaripoti police, Toka mwezi wa Tano mwaka Jana 2021, mpaka leo, nilifatilia nikachoka, kwa Nini kisipelekwe sehemu nyingine
  10. jbrutta

    Hakuna watu wanafiki na wabaguzi hapa nchini kama masikini

    Masikini huwa na roho mbaya na katiri, akifika sehemu Safi mpaka haichafue, ukimpakia kwenye gari anachana siti n,k
  11. jbrutta

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Nimefurahia story nzima, ila umaliziaji mwanzo ulisema story ya kweli iliyokutokea then eti ulisimuliwa
Back
Top Bottom