pole sana dadaa..
wanaume kama hao wapo lakini kama kakiri kweli bado anakupenda bac hauna budi kumsamehe kwasababu malez ya watoto bila baba na mama(wazazi) sio mazuri.. unaweza ukampa mtoto mdogo matatizo akikua kwa sababu lazima atamuulizia baba.
kwa hyo nakuomba rudisha moyo nyuma na...
jamani ni kweli kwamba kufaulu kwa mwanafunzi kunamuongezea mzaz au mlez matatizo???? kwasababu kuna wazazi wengine hufurahia kabisa kufeli kwa mwanae ili kukwepa mambo yaada/karo ya shule kwa kusema anaongeza umaskini...na kama wapo ungependekeza saerikali imchukulie hatua ani??
mlevi na mchungaji walikutana ndani ya daladala, sasa mchungaji hakupendezwa na kitendo cha yula mlev kulewa ndani ya daladala akaamua kumuuliza swali na mazungumzo yao yalikua hivi:mchungaji: hivi wewe unamjua mungu kweli? mlevi: hapana cwez kumjua kwasababu mm sio mwenyeji hapa ni vyema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.