habari walimu....anayetaka kuja harmashauri ya NEWALA (mtwara) mi nije wilaya yeyote ya mkoa wa morogoro.....au wilaya yeyote ya mkoa wa njombe na iringa au wilaya yeyote mwanza...karibuni 0752 59 90 66 tuwasiliane ndugu
jamani habari za muda huu ndugu zangu.....Nina tatizo nina simu yangu ya tecno m 3 imekataa kuwaka tangu jana inawaka lakini inaishia kutoa jina LA tecno tu.....pasipo kuwaka kabisa tafadhari naombeni msaada wenu kwa hilo......
habari wakuu.....njoo NEWALA MTWARA.......nije KIROMBERO au MOROGORO MANISPAA au MVOMERO......idara ya sekondari....... 0764 41 92 44
.
.vilevile kwa idara ya msingi njoo NEWALA nije wilaya yeyote mbeya.......kama hupo tayari 0764 41 92 44
Tafadhali; njoo newala idara ya sekondari nije almashauri yeyote katika mikoa ya mbeya,songea manispaa na songea vijijini au njombe manispaa na au morogoro.......tafadhali wasiliana nami kwa namba 0763022253
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.