Recent content by jayog

  1. jayog

    JamiiForums Tanzania Kujisadaka

    Inategemeana Na Hali,mazingira ya kazi...au upambanajii wa kila siku katika kupat ridhiki
  2. jayog

    JamiiForums Tanzania Kujisadaka

    Ni kwelii kabisa blazaa
  3. jayog

    JamiiForums Tanzania Kujisadaka

    Ni vyema kuchukua maamuzi yaliyo Bora Kwa wakati sahihii, kujisadaka Ni neno Dogo lenye hisia Kali Za maumivu ndani Yake, mateso, ukosefu wa furaha Na Amani Lakin mwisho wake uwa mzuri Kwa jitahada zenye malengo.
  4. jayog

    JamiiForums Tanzania Nyimbo na Movie zangu bora kabisa kwa mwaka 2023

    Bro huwag unadownlodia wapi movie?
  5. jayog

    JamiiForums Tanzania Nyimbo na Movie zangu bora kabisa kwa mwaka 2023

    Nawezaje kupata hivi movie Gen V,pamoja na ghosted nidownloadie wapi
  6. jayog

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

    Nishawai ila tatizo nilikua natunza uvulana wangu
  7. jayog

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na mwanamke mtu mzima, naomba ushauri

    Kwann uoe umeona sas matatizo umeyatka!!
  8. jayog

    JamiiForums Tanzania Wanaume unaweza kuishi chumba kimoja na mwanamke usiyekuwa na mahusiano naye?

    HAHAHH UNATUCHORA JAMAANGU
Back
Top Bottom