Recent content by JayEm

  1. JayEm

    Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Njooo kwangu ila usiniombe hela
  2. JayEm

    Msaada wa mawazo na kisheria

    Ndugu zangu wana jamvi naomba mnisaidie mawazo ya kisheria na kikanuni. Kuna watumishi idara ya elimu msingi wamehamishwa tangu mwaka jana mwezi wa 5 lakini hawakulipwa fedha ya uhamisho. Walidanganywa wakaripot vituo vya kazi kisha kupewa hela kidogo tu kama kiasi cha tsh 250,000 kwa maelezo...
  3. JayEm

    Ngara: Kwanini afisa elimu unawang'ang'ania walimu wakuu wa certificate

    Kwanini afisa elimu unawang'ang'ania walimu wakuu wa certificate
  4. JayEm

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hahahahaaa nimeipenda hii ni kali,,, kwamba hizi likes baadae tunazi draw tigo pesa?
  5. JayEm

    Askofu Dr.Benson Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa vitisho, jela wala mahabusu. Hoja yenye nguvu haihitaji dhamana mahakamani

    Ni imani yangu kuwa Mungu alie kuwezesha kupata PHD ndie alie wawezesha phd wengine hivyo kwa mtazamo wangu watakuwa na wakati mzuri wa kuiga kutumia elimu yao kutoa mawazo yakuisuka jamii mbele jamii inayoelekea kupotea kimtazamo, kifikira na kiutendaji. Mungu akubariki askofu msema ukweli na...
Back
Top Bottom