Recent content by Jay Milionea

  1. Jay Milionea

    Bango la TRA pekee mei mosi 2022 haliongelei mambo ya mishahara isipokuwa Michezo ni Afya

    WEWE ACHA UONGO, MI NMEONA BANGO LAO WAMEANDIKA NAO KUHUSU MISHAHARA
  2. Jay Milionea

    Namba ya kuripoti RUSHWA TRA

    We twanga tu hiyo namba, acha woga
  3. Jay Milionea

    Namba ya kuripoti RUSHWA TRA

    Wananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana...
  4. Jay Milionea

    Hivi wafanyakazi wa TRA mna matatizo gani? Mnaomba omba hela za rushwa kila huduma kwa mteja!

    Kama wamekuomba rushwa toa taarifa wana namba yao ya whatsapp 0744-233 333.
  5. Jay Milionea

    TRA yafafanua kuhusu suala la Mwekezaji wa Kilimanjaro

  6. Jay Milionea

    TRA: Watumiaji kilevi kutambua kama kinywaji anachokunywa kimelipiwa kodi kwa kutumia simu ya mkononi

    MTOA POST MUONGO MKUBWA WEWE. CG WA TRA HAKUNA MAHALA KATAJA WALEVI. ACHA UPOTOSHAJI
  7. Jay Milionea

    Elimu kwa mlipa kodi hakuna, TRA ni nguvu tu

    We utakua mkwepa kodi unatoa lawama kwa TRA kwa lengo la kuwachongea huna lolote, mbona wajasiriamali wanapewa elimu, taasisi za serikali na binafsi ebu kama una macho jaribu kugoogle basi sio unakurupuka kisa umepigwa kodi kulipa hutaki. We ulitaka elimu ipi au wewe umeifanyia nini cha maana...
  8. Jay Milionea

    Dr. Mpango na TRA, huu ni Uhujumu Uchumi!

    Umetumwa wewe huna lolote
  9. Jay Milionea

    Dr. Mpango na TRA, huu ni Uhujumu Uchumi!

    Taja hayo makampuni umetumwa wewe kuichafua Serikali
  10. Jay Milionea

    TRA yasahihisha taarifa za makusanyo kama ilivyoripotiwa na ITV

    Utakufa wewe mchumia tumbo umeumbuka baada.ya kukuwekea.ukweli hahahah
  11. Jay Milionea

    TRA yasahihisha taarifa za makusanyo kama ilivyoripotiwa na ITV

    UKWELI WA ALICHOONGEA MPANGO HIKI HAPA
  12. Jay Milionea

    TRA yasahihisha taarifa za makusanyo kama ilivyoripotiwa na ITV

    We kibendera fata upepo. Uwe unatafiti kujua ukweli kaah
  13. Jay Milionea

    TRA yasahihisha taarifa za makusanyo kama ilivyoripotiwa na ITV

    Sasa wewe unadhani nini kimefichwa hapo? Ebu msikilize Waziri Mpango kwa makini kisha ndo utoe hizo nahau zako.
Back
Top Bottom