Recent content by Jay kay

  1. Jay kay

    Nafasi za kazi: Fitter Mechanics and Welder/Fabricator

    Hii fulsa vip.. kaka nikufate PM mzee
  2. Jay kay

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Iyo ITN ni chanel namba ngap Azam au Dstv
  3. Jay kay

    Mwigulu kakamata wachina 72 wanaishi bila vibali

    Ina maana bila yeye kwenda uko haya yangefaamika?? Inamaana serikal ya eneo husika ilikuwa wapi jutambua ili mapema? Wakuu wa polisi, Uhamiaji, DC, RC na watendaji wengine wote wanaohusika na Ulinzi na Usalama walikuwa hawayajui aya????? Watumbuliwe kwa kweli.....
  4. Jay kay

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Sijakusoma bado unachomaanisha mkuu, ni mafanikio ya mwenyekiti km mwenyekiti (manji) au mafanikio ya Yanga...!!!?? Kajipange then uludi tena ukiwa umejitambua vzuri.
  5. Jay kay

    Nauza matikiti maji kwa jumla

    Bado hujaelewa 4PS, Dar seemu gan Magomeni, manzese au ubungo ndo shamba lko lilipo..??
Back
Top Bottom