Recent content by Jawai

  1. Jawai

    Lodge na Hoteli nyingi za Dar es Salaam hazina vyandarua vya mbu

    Kama shuka na taulo zinafuliwa sidhani kama kuna ugumu net pia kuwekewa ratiba ya kufuliwa.
  2. Jawai

    Lodge na Hoteli nyingi za Dar es Salaam hazina vyandarua vya mbu

    Licha ya serikali kupiga kampeni kila siku juu ya mpango wa kutokomeza malaria. Nimeshangazwa na haya mazoea ya Hotel na Lodge nyingi za Dar es Salaam kutofungwa net za mmbu kwenye vitanda vyao. Labda, lengo za hotel/Lodge hizo ni kuhudumia wateja wa short time lakini anapokuja mgeni...
  3. Jawai

    Natafuta mchumba

    Kwani humu mtandaoni wapo wanawake wa porini au?
  4. Jawai

    Ni kitu gani cha kijinga ambacho kinaaminiwa na kundi kubwa la watu

    Mwanamke anaweza kuwa sawa na Mwanaume.
  5. Jawai

    Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

    Nenda kawafundishe kutoa mimba kama hawa wa mjini unaohisi wanapata muda wa kula ujana.
  6. Jawai

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Nenda kacheki data usage ili ujue uhalisia wa data zilizotumiwa na simu yako.
  7. Jawai

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Nilimefuatilia kwa njia ya Data Usage, nimepata hayo majibu.
  8. Jawai

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Kwani bando linatumika kutokana na aina ya simu?
  9. Jawai

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Ngoja nione namna ya kuhamia huko.
  10. Jawai

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Sure, nina laini ya tigo at least kuna ukweli.
  11. Jawai

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Hivi hamna uwezekano wa kuwafungulia mashtaka kwa kosa la udanganyifu.
  12. Jawai

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi ya vifurushi vya Internet. Tarehe 01/08/2022, nilijiunga na kifurushi cha Tsh.1500 (Mb850) na niliamua kuanza kufuatilia na kujipimia matumizi ya vifushi vya Internet kwenye simu yangu kupitia Mobile data usage ambapo nilipata fursa ya kuweka...
Back
Top Bottom