Recent content by JASUSI LA MBINGUNI

  1. JASUSI LA MBINGUNI

    Rais Samia awakosha na kuwapa Tabasamu Watanzania

    Nimebubujikwa chozi la kushoto huku la kulia likiwa limejifunga gubi gubi. Chozi la kijeshi.
  2. JASUSI LA MBINGUNI

    Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

    Anasimamaje AS A MAN wakati BORO LIMESHAFYEKWA kwenye ajali? Huyo ni DEMU tu
  3. JASUSI LA MBINGUNI

    Nimepona bawasiri; Asante Mungu

    Nimemtapeli nani mbwa wewe
  4. JASUSI LA MBINGUNI

    Nimepona bawasiri; Asante Mungu

    Thubutu! Jaribu uone kama utapona
  5. JASUSI LA MBINGUNI

    Nimepona bawasiri; Asante Mungu

    Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana. Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi. Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la...
  6. JASUSI LA MBINGUNI

    Rais Museveni agoma kusaini Muswada wa sheria unaopinga Ushoga uliopitishwa na Bunge akitaka ufanyiwe marekebisho

    Pambaneni na wale waliofungwa kihuni waachiwe. Mnaomba kufanya MAREJEO YA KESI kwenye mahakama ya juu ili zile hukumu za kihuni zifutwe.
  7. JASUSI LA MBINGUNI

    Rais Museveni agoma kusaini Muswada wa sheria unaopinga Ushoga uliopitishwa na Bunge akitaka ufanyiwe marekebisho

    Katika hali isiyotarajiwa, Rais wa Uganda, Yoweri Museven, amekwepa kusaini muswada wa sheria dhidi ya mashoga. Muswada huo uliopitishwa kwa mihemko na Bunge la Uganda mnamo march mwaka huu, uligubikwa na kiwango kikubwa cha adhabu kali dhidi ya mashoga ikiwemo kifo. Baada ya muswada kupelekwa...
  8. JASUSI LA MBINGUNI

    Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

    We jamaa una madini makali. Kwanini haukutaka kuwa JAJI ili uliokoe hili taifa dhidi ya VILAZA waliosoma sheria bila kuzijua sheria? SAMIA akuteue mara moja. Haiwezekani TUMEFUGA MAVILAZA yanapima watu mikundu halafu tumeacha tunu zenye madini
Back
Top Bottom