Recent content by Jasor

  1. Jasor

    JamiiForums Tanzania GYSC (Global Youth Support Center)

    Nimepita leo fb nikakutuna na hawa watu (Global Youth Support Center) wa kusupport vipaj vya watoto wadog kielimu, football, basketball nk Lakn sina uelewa san juu yao jaman wanajamii kwa yeyote mwenye uelewa zaid anisaidie.
  2. Jasor

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Ni ukweli lakn siku zote tunafaa kujiandaa mapema coz combetion ni nzito
  3. Jasor

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Linke Din ninayo kaka ngoja niichek hio page Asante sana
  4. Jasor

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Sawa Kaka nimepita usa embassy nimeona Kuna moja inaitwa full bright yenyew inatoa kwa graduate student is University of San Diego wenywe wanatoa partial ni vyuo gan unavyovijua vinatoa coz vyuo ving sana USA kaka
  5. Jasor

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Asante sana broda ngoja nipitepite but we unahis nchi gan wanatoa hz scholarship kirahis sana
  6. Jasor

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Bro Asante sana ngoja nikaive nazo izo website nipe bas account yako ya insta unipange fresh
  7. Jasor

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Dahhh bro umenifumbua macho aisee Asante sana shida ninawapataje😥
  8. Jasor

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Sawa Kaka zipo ambazo nishazifuatilia kama ebm scholars lakn nataman nipate mtu ambaye ni mnufaika tyr anielekeze kuandika essay zao
  9. Jasor

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship. Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
  10. Jasor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituko nilivyomfanyia huyu demu kwenye simu jana hatawahi tena kunitafuta

    Hio kwel man dahhh bonge lake na idea
Back
Top Bottom