Recent content by Jasiri 1

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa tafsiri mpya ya neno demokrasia!

    Democracy ni nini eti! [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
  2. J

    JamiiForums Tanzania PLAN A: Kuelekea Sept 1, Operesheni UKUTA vikosi vimepangwa hivi

    iyo ya mbea imekaa vizuri
  3. J

    JamiiForums Tanzania Licha ya "tishio la kumzuia mitandaoni" Tundu Lissu aibuka tena na "kijembe" kwa Serikali

    Haaa nitakuja mkuu naamini nitaendelea kujifunza kitu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

    Aisee hujashtuka tuu kuna kampuni inaitwa hombase hao jamaa nawakubali vibaya mno Tv zao ziko poaa yani ikizingua unawarudishia wanakupa nyingine mpyaaa yani cjaamini ina vioo vioo viwili ikipasuka cha juu inalinda cha ndani yani karibu kuiulizia kwenye maduka tofauti utajipa jibu mwenyewe
  5. J

    JamiiForums Tanzania Lowasa ana haki ya kuzunguka Tanzania akifanya mikutano

    Hata zito nae kwani alishindwa mkuu mbona alinyimwa japo alishinda na wengine wengi jamani cjui mtajitetea kwa lipi nyie walumumba
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Mkuu unapomkataza mtu kukujibu swali lako jua kabisa hajajipanga kukuuliza alikurupuka wala usiwashangae hawa mafisiem hawana njia nyingine yakujitetea
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Unajua unaweza kulipwa kutetea kisichofaa kutetea nyie walumumba mna kazi kubwa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Alafu mtu anatuambia tumwombee aendelee kuyafanya haya au?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Iyo anayoenda kufanya kahama ni ya ndan mkuu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye mamlaka ya kuruhusu mikutano ya siasa?

    Katiba
  11. J

    JamiiForums Tanzania Fred Mpendazoe: Lowassa tusamehe tuliokuhukumu, nikiwamo mimi!

    Mnafki mkubwa uyo
  12. J

    JamiiForums Tanzania BAVICHA haturudi nyuma- Sosopi

    Nashukuru mbowe kuzuiya bavicha kutokwenda dodoma naamini kimya kingi kina mshindo mkubwa tuwaache awa uvccm wapige kelele kwa mda mfupi watanyamaza milele
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Taifa letu kujifunza Teknolojia kutoka Rwanda

    Aibuuuuu!!
Back
Top Bottom