Nani mwenye mamlaka ya kuruhusu mikutano ya siasa?

Nani mwenye mamlaka ya kuruhusu mikutano ya siasa?

VIVIANET

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
2,129
Reaction score
2,922
Tafadhali ndugu zangu wana JF naomba kwa ustarabu na ustawi wa nchi yetu tujibu swali hili Nani mwenye mamlaka ya kuruhusu mikutano ya kisiasa kufanyika nchini?

1-Katiba ya nchi

2-Polisi

3-Msajili wa vyama vya siasa

4-Vyama vyenyewe
 
Heshimu kazi yangu kama ninavyo heshimu kazi yako. Bila kushikishana adabu mazoea yatazidi..... naona itafika mahali hata ndani hutatoka.... niangushieni miembe inayojidai inamizizi mirefu maana bila ya hivyo ni sawa kufumba macho ukijiona umejificha....
 
Katiba ndio Dira ya kila kitu, lakini kwa siku za hivi karibuni imekuwa haifuatwi.
 
Hiyo namba ngapi kt ya hizo nne hapo juu?
 
Heshimu kazi yangu kama ninavyo heshimu kazi yako. Bila kushikishana adabu mazoea yatazidi..... naona itafika mahali hata ndani hutatoka.... niangushieni miembe inayojidai inamizizi mirefu maana bila ya hivyo ni sawa kufumba macho ukijiona umejificha....
Hiyo namba ngapi kati ya hizo nne hapo juu?
 
Mkumbuke siku hizi wanacopy tabia za ki magharibi,kibao n'gwe... huyo anakimbilia ku report police,na kwa vile atakua na ka mvuto flani huko utaona jamaa wa mustache watakavokumamania mzee! Si ajabu wakakulaza huko,eti kwa shambulio.kuna dawati wamelianzisha huko. kumbukeni kongamano la beijing 1995.
 
Back
Top Bottom