Full gospel bible fellowship ina zaid ya miaka 25 . Walishatabir sana itakufa lkn nakuambia haifi leo wala kesho. Hii huduma imetoka juu. Mtasubir sana. Funga mjadala hili sio jukwaa la kujadili makanisa na miskiti. Ni jukwaa la siasa
Ndugu yangu biashara nyingi zinazofanyika hapa nchini ni huduma za kijamii ikiwemo vyakula, fikiria maduka yote yangefungwa unadhan maisha yangeenda? Kimsingi wafanyabiashara wanafanya biashara at the same time wanatoa huduma za kijamii. Ukitazama elimu inayotolewa shule binafs na hata...
Sheria ya hizi mambo za mito,maziwa na bahari vinapokuwa ktk mpaka lazma wagawe nusu kwa nusu Jk alieleza vzur kwenye hotuba yake kuhusu mgogoro wa malawi na tz kuhusu ziwa nyasa .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.