Mkuu kuna kitu nyuma ya pazia mnaficha labda mtuambie alikuwa anavuka kuja kunduchi ndio maut yalipomkutia pale maana pale kwenye kicross lazima uwe timamu kwelkwel ndio upite panahitaj umakin wa hal ya juu sana kuangalia magar esp malor yanayotoka tegeta ss kama alikuwa pemben pale anasubir...
Ss ww ni mgen kabisaaaaaa katika fan hii ya umbea ukitaka kuuliza maswal ya kimbea yana uulizwaj wake sio styl ya maswal ya polis ndio uulize kwenye umbea hutaambiwa ukwel
Ww bwana ww mm mtu mzma mwenzako kwahiyo unataka nikwambie fulan ni jamaa yangu wa karibu kwahiyo huwa ananiambiaga yanayomsibu au fulan ni kamchepuko kangu kwahiyo data zote huwa ananipa aah!Chief eeh hapa hatusutan ila ninachokiandika nakimaanisha
Hahhahaha! Ww ni aina ya watu wanaopenda umbea sana ila huwa wanashindwa kuuliza kuogopa kuonekana namna gan vip unaishia kujificha kwenye maswal...
na huupat ukwel ng'oooooo
Cloudz kitu gani swala mezan ni uwezo dina ana uwezo na anaajirika kama vip awapige chin hata wik hamaliz atakuwa ana ajira mpya..
Aachane na wanaoleta mapenz kazin..
Wafanyakaz wa cloudz wengi wanamaumivu moyoni ila ukiwasikiliza wakiwa kwenye vipind unaweza dhania ndio wanafanyakaz wanao-enjoy kuliko wafanyakaz wowote wa radio tz...
Boss wa efm hajamuona dina maana ncha kal yopo efm..
Wema na yeye ni profeshinali wa kutembea na waume za watu huyo ck si alikuwa mume wa mtu hadi mkewe akamfanyia fujo ikatangazwa mpk kwenye hekaheka akwedreeee zake au ndio ile mtenda akitendewa....
Katika pitapita zangu za kuwaangalia watu maarufu Tanzania nathubutu kusema sijawahi kuona msichana ambaye ni mjinga ila anajifanya mjuaji kama wema na hii inaletwa na kujiona yy ni Mungu mtu kwsbb anapendwa sana na mashabiki basi anajiona ana kila sababu ya kusujudiwa...ukiongeza na sifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.