Recent content by japotenda

  1. japotenda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

    JF ya zamani tofauti na ya sasa kabisa, yeye anamwita mwenzie muongo kumbe yeye ndo muongo kabisa
  2. japotenda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

    mi ni mwalimu niliyekosa ajira kwa miaka 6, si nikajaribu kufungua day care januari hii, nikakutana na fungia fungia day care, pia serikali ikatangaza kufungua day care zake. Nikawa najiuliza serikal si wanasema tujiajir? Sasa mi mwalimu nijiari vipi.
  3. japotenda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

    we wewe ndo muongo, nimemaliza UDSM 2015 namba yangu 01366 surname yangu inaanza na M , rafiki yangu surname yake A inaanza reg no yake ni 00730 sasa mwenye surname inayoanza na na Z atakuwa na reg no ngapi? Mahaba yakizid hupunguza uwezo wa kufiri, hicho ni chuo kimoja tu je hapa nchini kuna...
  4. japotenda

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

    kabisa wenzao tupo kitaa mwaka wa 10 bila ajira
  5. japotenda

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO suala la umeme maeneo ya zingiziwa CHANIKA nyuma ya hospital ya zingiziwa vipi ? Mmeweka vile vialama vyenu vya vijiti hadi vimepotea, mmeshusha nguzo NGOBEDI je sisi wa ZINGIZIWA tusubiri hadi lini?
  6. japotenda

    JamiiForums Tanzania Padri Mahakamani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi

    kwani wanaruhusiwa kula papuchi?
  7. japotenda

    JamiiForums Tanzania Padri Mahakamani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi

    kanisa hilo hilo lilishindwa kumuangalia hadi kabaka ndo watamzuia asitoroke! au makanisa siku hizi yana mahabasu?
  8. japotenda

    JamiiForums Tanzania Padri Mahakamani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi

    kabisa, hapa kwetu kuna padri kampa mimba nesi wawaruhusu waoe
  9. japotenda

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imemwajiri Babu Lembrice Peter kwa kutumia namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine

    inauma haswa unashindwa hata la kufanya
  10. japotenda

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya wamama wa Urambo kuhusu maji

    si maji tu, maji safi na salama, mtoa posti una uwezo mdogo wa kufikiri
  11. japotenda

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa siku mbili amefariki dunia, alichomwa sindano baada ya joto kupanda

    kwel dr mtoto alikuwa mkubwa kisha mzaz alikaa na uchungu kwa siku 3 kwa maelezo yake, weng wanafurah kujifungua watoto weny uzito mkubwa bila kujua madhara yake.
Back
Top Bottom