Recent content by Japhet mbali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

    Mh mbona jengo lenyewe kama wako bongo ni ulaya hapo?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Barabara za mitaani Jimbo la Nyamagana zimegeuka kuwa mito

    Mfano barabara ya majengo mapya nyegezi ni shida kubwa .
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 2015 mlikosea kuteua mgombea Urais naona mnajiandaa kurudia kosa?

    Jana magazeti yalisema kuna mwanamke anaandaliwa kugombea Urais kupitia Chadema, ni nani huyo?
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM fanyeni kila muwezalo Mh. Zitto Kabwe asirudi Bungeni

    Japo mimi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa ila nakiomba chama cha CCM kilichopo madarakani kufanya kampeni ya haki na yenye nguvu kuhakikisha Ndg. Zitto Kabwe asifanikiwe kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafasi ya ubunge kwani amekuwa akipinga hata mambo ya msingi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ndege inatunguliwaje wakati huwa juu futi 33,000 kwa speed ya 900km/hr ?

    Mwarabu muda mwingine akili zao si za kawaida mnapiga ndege na kuua mnasema ni bahati mbaya USA some time nampongeza
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atoa agizo zito kwa wakuu wa mikoa wote nchini

    Hapo imekaa njema sana
Back
Top Bottom